Sasa kesi ilitengenezwa vipi wakati kuna watu walikamatwa na vizibiti vya kutaka kuchoma moto vituo vya mafuta na mara kadhaa Mbowe amekuwa akijitapa kwenye majukwaa anauwezo wa kuamuru wafuasi wao nchi isitawalike.
Kule Arusha nako kila uchaguzi Lema anatuma vijana wa CDM wakachome ofisi zao ili wapakizie CCM.
Halafu baada ya hapo wakikamatwa ohoo wanaonewa.
Huyo Bi Tozo hiyo case ya mwisho ya Mbowe alisema hadharani awezi kuingilia upelelezi wa polisi, Mbowe alipoingia nchini jamaa wakamalizana nae.
Mengine kama ulivyosema kaachiwa kwa sababu maalum, ila aliemfunga mara ya mwisho ni Samia au tukitaka ukweli ni jeshi la polisi ndio lililomtia hatiani. Tena sio kwa uonevu bali alikuwa na mipango ya kulipua vituo vya mafuta, polisi wana vielelezo vya ushahidi vifaa, mawasiliano ya mipango yaliyonaswa polisi na testimony za mashahidi polisi wamekusanya hadi kumkuta Mbowe na makosa kwa hivyo aikuwa case ya kubambikiwa.
Mengine siasa