Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,048
- 74,772
Wengine sio wakujibu maana sio watu ni viatu!Kengeza analo mama yako
Wengine sio wakujibu maana sio watu ni viatu!Kengeza analo mama yako
Malupwenyu.Wewe ni INTERAHAMWE
Kuna kila dalili huna akili na hii JF haikufai maana ni home of great thinkers. Hilo somo la ruzuku kila siku linafundishwa humu na huelewi?Pole sana wale wadada hachaneni nao warudisheni kwenye chama,Ruzuku mnapata na wao nadhani wanamchango kwenye hiyo ruzuku.....wambieni wenzio watulie mpaka 2025.
Hivi hawa watu identity ya majina yao unaweza kuitafuta? Ngoja niombe JF watutafutie majina ya watu hawaWahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama.
Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya cdm na ccm baadhi ya wana ccm wameamua kumuandama mh Samia...
Kungelikuwa na demokrasia kusingelikuwa na chawa!CCM tuna demokrasia ndiyo maana Mama Samia anafurahia kuongoza chama kinachofuata misingi ya utawala bora na haki. Hebu tuambieni kengeza wenu ataachia lini uenyekiti??
Huyo hata ukimaliza mwaka unamuelimisha hatokulewa maana yupo kama robot iliyo feli kilicho wekwa kichwani ndiyo hicho hicho.Kuna kila dalili huna akili na hii JF haikufai maana ni home of great thinkers. Hilo somo la ruzuku kila siku linafundishwa humu na huelewi?
Kuna watu wanapoteza muda kuelimisha lakini kwa hizo elimu zenu za hovyo hamuelewi!
Pita huku!
UTAWALA KATILI KUPATA KUTOKEA AFADHALI YA MKOLONI KULIKO AWAMU YA 5Wahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama.
Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya cdm na ccm baadhi ya wana ccm wameamua kumuandama mh Samia...
R.I.P JJPM. MWAMBAJiwe tayari yupo adhabuni
Great thinker wapo chadema uliona wapi,kama kiongozi wao Lema anatukana mpaka watu wa dini alafu yeye anajiita Nabii wewe akili umepata wapi ya kuwa gret thinker?Kuna kila dalili huna akili na hii JF haikufai maana ni home of great thinkers. Hilo somo la ruzuku kila siku linafundishwa humu na huelewi...
Mama anapata shida kupambana na majitu yenye roho mbaya kama alivyokuwa kaka yao yule