Hili ndilo kundi la Wahafidhina ndani ya CCM

Ni shida. Huko whatsapp wame fura balaa. Mpaka unashanga hawa kweli ni Watanzania?
Mama ajiangalie CCM ni lidudu likubwa lisije kummeza.Mwalimu Nyerere ambaye ni muasisi aliishia kuilalamikia CCM mpaka akasema CCM siyo Mama yake!
Sembuse huyu Mama wa Kinzanzibar,kama jambo wanalikataa awe mwepesi kuachana nalo,maana ataamua lakini utekelezaji utakuwa Zero!
 
Hakuna hiyo kitu
 
Wahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama.

Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya CHADEMA na CCM baadhi ya wana CCM wameamua kumuandama Rais Samia.

Hawataki kabisa maridhiano kati ya CCM/ watawala na CHADEMA. Hilo kundi lilizoea kufanya vurugu kuumiza wananchi wasiyo na hatia kisa chuki za kisiasa.

Hakika tumetoka mbali sana ila sasa kwa nguvu za Mungu na viongozi wetu tunaamini watatuvusha.

Tazameni hilo kundi la wahafidhina walivyokuwa wanatutendea bila huruma.

View attachment 2543642
Hii picha inanchekeshaga sana 😅😅
Kuna yule jamaa wa nyuma yeye kabeba tofali kabisa dah kweli bongo nyoso 😅😅😅😅😅😅
 
Mama anapata shida kupambana na majitu yenye roho mbaya kama alivyokuwa kaka yao yule
Sijui Mwigulu Nchemba ana hali gani aliko!
Japo aliwahi kuposti ajioneshe yupo sambamba na SSH!
 
Wahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama.

Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya CHADEMA na CCM baadhi ya wana CCM wameamua kumuandama Rais Samia.

Hawataki kabisa maridhiano kati ya CCM/ watawala na CHADEMA. Hilo kundi lilizoea kufanya vurugu kuumiza wananchi wasiyo na hatia kisa chuki za kisiasa.

Hakika tumetoka mbali sana ila sasa kwa nguvu za Mungu na viongozi wetu tunaamini watatuvusha.

Tazameni hilo kundi la wahafidhina walivyokuwa wanatutendea bila huruma.

View attachment 2543642
Hata maana ya muhafidhina huijui!
 
Kama alipona basi naamini alienda kutambikia maana hakustahili kubaki salama.
 
Wahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama.

Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya CHADEMA na CCM baadhi ya wana CCM wameamua kumuandama Rais Samia.

Hawataki kabisa maridhiano kati ya CCM/ watawala na CHADEMA. Hilo kundi lilizoea kufanya vurugu kuumiza wananchi wasiyo na hatia kisa chuki za kisiasa.

Hakika tumetoka mbali sana ila sasa kwa nguvu za Mungu na viongozi wetu tunaamini watatuvusha.

Tazameni hilo kundi la wahafidhina walivyokuwa wanatutendea bila huruma.

View attachment 2543642
Nilifikiri utatoa orodha ya viongozi ccm waomini wa itikadi ya ujamaa na kujitegemea kumbe mwenyewe hata maana ya uhafidhina hujui😆🙄
 
Hiyo picha ilikuwa enzi za J.K halafu huyo dogo sijui alivuta nini siku hiyo; kwenda kupandisha bendera ya CDM kwenye mkutano wa CCM.

Hizi ndio sababu serikali iliamua ifute viroba maana vijana wakishapiga ilikuwa hawana mipaka.
Sema alikosea hii picha ilichukuliwa mwishoni, ukiiangalia tokea mwanzo dogo alizingua sana.

Sema huyu mzee mwenye T-shirt nyekundu ana bonge ya Mpengo ahahah Dah nahisi ana asili ya kiyahudi siyo kwa hasira hizo ! Siasa za JK nazo zilikuwa za visasi sana sema tumesahau..watu walikufa na kumwagiwa tindi Kali, wengine kama akina Kibanda wakatobolewa macho, mabom yakalindima makanisani Dah!

Pole sana Ulimboka sikusikii siku hizi!
 
CCM tuna demokrasia ndiyo maana Mama Samia anafurahia kuongoza chama kinachofuata misingi ya utawala bora na haki. Hebu tuambieni Kiongozi wenu ataachia lini Uenyekiti?
Akimaliza vipindi viwili vya Urais kama atakuwa Rais maana hata Mwenyekiti wa Ccm huwa anaachia uenyekiti akimaliza vipindi viwili vya Urais !!
 
Sema alikosea hii picha ilichukuliwa mwishoni, ukiiangalia tokea mwanzo dogo alizingua sana.

Sema huyu mzee mwenye T-shirt nyekundu ana bonge ya Mpengo ahahah Dah nahisi ana asili ya kiyahudi siyo kwa hasira hizo ! Siasa za JK nazo zilikuwa za visasi sana sema tumesahau..watu walikufa na kumwagiwa tindi Kali, wengine kama akina Kibanda wakatobolewa macho, mabom yakalindima makanisani Dah!

Pole sana Ulimboka sikusikii siku hizi!
Kipindi kile wengi waliumizwa kimya kimya !! Kwa Tanzania wahafidhina ndio wako vile kama kwenye hiyo picha !!
 
Wahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama.

Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya CHADEMA na CCM baadhi ya wana CCM wameamua kumuandama Rais Samia.

Hawataki kabisa maridhiano kati ya CCM/ watawala na CHADEMA. Hilo kundi lilizoea kufanya vurugu kuumiza wananchi wasiyo na hatia kisa chuki za kisiasa.

Hakika tumetoka mbali sana ila sasa kwa nguvu za Mungu na viongozi wetu tunaamini watatuvusha.

Tazameni hilo kundi la wahafidhina walivyokuwa wanatutendea bila huruma.

View attachment 2543642
Mpiga picha apewe tuzo
Hii picha iwekwe makumbusho
Ina ujumbe mwingi sana
Apa mwamba aliwaachia
Manyoyaa

Screenshot_20230309-225143_Instagram~2.jpg
Screenshot_20230309-225143_Instagram~3.jpg
 
Mpiga picha apewe tuzo
Hii picha iwekwe makumbusho
Ina ujumbe mwingi sana
Apa mwamba aliwaachia
Manyoyaa

View attachment 2546587View attachment 2546588
Kumbe ipo na mizee mingine isiyokuwa na akili wala busara badala ya kutuliza munkari yenyewe ndio kwanza yanashiriki katika vurugu na ugomvi !! Hatari sana !! Kweli hizo picha zihifadhiwe sana!! Ziwekwe kwenye jumba la makumbusho 😅😅🇹🇿
 
Mazamwamwa Aya😆😆
 
Mazamwamwa Aya😆😆
Kweli kabisa ! Sijui wakijiona hapo kwenye picha wanajisikiaje ??!! Nadhani wao wanaona fahari !! Ni hasara kuwa na mijitu yenye roho mbaya kama hii katika Nchi !! Sijui watoto wakiziona picha hizi wanajifunza nini !! Ukatili ??!! Hatari sana 🙄
 
Wahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama.

Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya CHADEMA na CCM baadhi ya wana CCM wameamua kumuandama Rais Samia.

Hawataki kabisa maridhiano kati ya CCM/ watawala na CHADEMA. Hilo kundi lilizoea kufanya vurugu kuumiza wananchi wasiyo na hatia kisa chuki za kisiasa.

Hakika tumetoka mbali sana ila sasa kwa nguvu za Mungu na viongozi wetu tunaamini watatuvusha.

Tazameni hilo kundi la wahafidhina walivyokuwa wanatutendea bila huruma.

View attachment 2543642
Wanaonekana wenye dini zinazohubiri amani na upendo hapo
 
Wahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama.

Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya CHADEMA na CCM baadhi ya wana CCM wameamua kumuandama Rais Samia.

Hawataki kabisa maridhiano kati ya CCM/ watawala na CHADEMA. Hilo kundi lilizoea kufanya vurugu kuumiza wananchi wasiyo na hatia kisa chuki za kisiasa.

Hakika tumetoka mbali sana ila sasa kwa nguvu za Mungu na viongozi wetu tunaamini watatuvusha.

Tazameni hilo kundi la wahafidhina walivyokuwa wanatutendea bila huruma.

View attachment 2543642
Haya majinga yamejaa chuki sana
 
Back
Top Bottom