Peter Kabelelo
Member
- Aug 9, 2009
- 26
- 18
Du! Siamini kama ndiye aliye tuahidi maisha bora kwa kila mtanzania. tutatoboa 2015 kweli? Njaa nayo jibu litakuwaje?"Mimi sio wingu la mvua kwenda kuleta mvua mtera"
Du! Siamini kama ndiye aliye tuahidi maisha bora kwa kila mtanzania. tutatoboa 2015 kweli? Njaa nayo jibu litakuwaje?"Mimi sio wingu la mvua kwenda kuleta mvua mtera"
Swadaktaaaa! Umenikuna kunako.Unless wewe ni mtoto mdogo au si mfuatiliaji wa mambo huwezi kutoelewa kilichosemwa
hii bado ya moto.Msikubali mrithi wangu awe na umri wangu....ndio kukiri mapungufu au udhaifu? mweee
yawezekana nikawa mtoto lkn wewe ukawa na akili za kitoto. Unaweza niambia ni nani alisema SAGENI MAHINDI MHIFADHI PUMBA, ZITAWASAIDIA WAKATI WA NJAA? Maana ya kukoment vile si kila mtu kila wakati anang'aa macho luningani au magazetini. So taarifa iwe kamili. Si kwa kuwa we wajua basi kila mtu anajua, SAWA?Unless wewe ni mtoto mdogo au si mfuatiliaji wa mambo huwezi kutoelewa kilichosemwa
ukitaka kula vya wenzako sharti na wewe uliwe............."Sina maana hiyooo"
Babake @NYC huyo!Japo niya zamani lakini kuna gamba moja liliwaambia wasafiri wa TRC"Go to hell"
Hahahahahahaha Lohhhhh No way ...Nimecheka dahhhUnavituko sana"nani aliyewambia mteue wagombea urais wenye sura mbaya" by mkapa......reply ya mrema sasa "wewe mkapa ingekuwa watu wanachagua sura basi usingekuwa rais 1995 coz mimi nini sura nzuri kukuzidi"
SI SAWA HATA KIDOGO!! Kama kauli hiyo ILIZUA MJADALA MUDA MREFU bungeni na.jamii kwa ujumla halafu niwe sijaisikia basi ama nitakuwa mtoto au sifuatilii mambo. Sidhani (kwa mfano) kuna mtu ambae hajawahi kusikia mjadala juu ya kununuliwa ndege ya rais ambae ni mfuatiliaji na si mtoto. Hoja ya kujua kila kitu hapa haina mantiki. Tukianza kurudia kila kitu posts zitalazimika kuwa na kurasa kadhaa kwa urefu.yawezekana nikawa mtoto lkn wewe ukawa na akili za kitoto. Unaweza niambia ni nani alisema SAGENI MAHINDI MHIFADHI PUMBA, ZITAWASAIDIA WAKATI WA NJAA? Maana ya kukoment vile si kila mtu kila wakati anang'aa macho luningani au magazetini. So taarifa iwe kamili. Si kwa kuwa we wajua basi kila mtu anajua, SAWA?
...huyo lazima utakuwa unamfahamu! kwa sababu kama watu wanakula mafupa ya samaki na kufanya sherehe kuna tofauti gani na kauli ya kuhifadhi pumba ili zifae katika jaa hii!! Yawezekana si wao watoao kauli hizo bali ni ninyi mnaosababisha wazitoe!!!yawezekana nikawa mtoto lkn wewe ukawa na akili za kitoto. Unaweza niambia ni nani alisema SAGENI MAHINDI MHIFADHI PUMBA, ZITAWASAIDIA WAKATI WA NJAA? Maana ya kukoment vile si kila mtu kila wakati anang'aa macho luningani au magazetini. So taarifa iwe kamili. Si kwa kuwa we wajua basi kila mtu anajua, SAWA?
na aliyeitoa hiyo kauli na huyuhuyu Cigwiyemici aka jumanne. Tafuteni vyanzo vya habari enzi zake. sasa ni wangapi wanalijua hili?...huyo lazima utakuwa unamfahamu! kwa sababu kama watu wanakula mafupa ya samaki na kufanya sherehe kuna tofauti gani na kauli ya kuhifadhi pumba ili zifae katika jaa hii!! Yawezekana si wao watoao kauli hizo bali ni ninyi mnaosababisha wazitoe!!!
Laiti kama wangelizitoa na wananchi kwa sauti kuu wakazipinga ingelikuwaje?
Kauli hizo maana yake wameshaona upeo wetu unapokomea...
wanaujua udhaifu wetu ulipo...
sishangai unaposema huelewi au hufahamu....
sababu za kutoelewa mada hii na kutoifahau ndizo zilizotufikisha hapa tulipo leo...
Kama ni gari na magurudumu wameshamng'oa sasa liko juu ya mapipa...
wanasubiri kugawana mabati na vipuri vilivyobaki...
vikiisha "TUTAAMBIWA NENOJIPYA NA LINALOZIDI YOOTE TULIYOWAHI KUAMBIWA!!"
Sitoshangaa hata kwa NENO hilo tukicheka na KUPIGA MAKOFI NA VIGELEGELE!!
NASI ITAKUWA NI "KIHEREHERE CHETU!!"