Hili nalo neno: Haya ndo Mapenzi ya Sasa...?

Hili nalo neno: Haya ndo Mapenzi ya Sasa...?

Ni kweli anahoja kuhusu mke kubaki nyumbani kwa mujibu wa imani yake ila amesahau hata yeye sio muda wote atakuwa anakaaa nyumbani au sio maisha yake yote hataweza kusafiri na kuwa mbali na mkewe kama ni mke wa kumsaliti si ndio atatumia muda huo. Kumbuka tuliambiwa asiyefanya kazi asile haikusema ni mwanamke au mwanaume hata mke ana haki ya kufanya kazi, pia usimuache elimu haikusema ni kwa wanaume pekee hata mwanamke ana haki ya kusoma

Uko sahihi mkuu maisha haya yanachangamoto nyingi ili mshika mbili moja imuokoe
 
Ni kweli anahoja kuhusu mke kubaki nyumbani kwa mujibu wa imani yake ila amesahau hata yeye sio muda wote atakuwa anakaaa nyumbani au sio maisha yake yote hataweza kusafiri na kuwa mbali na mkewe kama ni mke wa kumsaliti si ndio atatumia muda huo. Kumbuka tuliambiwa asiyefanya kazi asile haikusema ni mwanamke au mwanaume hata mke ana haki ya kufanya kazi, pia usimuache elimu haikusema ni kwa wanaume pekee hata mwanamke ana haki ya kusoma
Elimu ipi? hii waliyokuja nayo freemason kumtawalisha shetani juu ya nchi kwa kuvunja taasisi ya ndoa ili kufungua milango ya ukahaba na ushoga? Nani alikwambia kufanikiwa maishani elimu inahitajika? mungu anakuumbueni kwa kuwafanya wasiosoma matajiri ili waje kuwaajiri na imani zenu butu mnazodanganywa kujua utamaduni wa freemason ndio mafanikio. Hilo andiko lako linalosema wanawake wafanye kazi ni biblia yako tu au ile inayotumiwa kuodhesha mashoga inasema hivyo. Kazi za mwanamke ni tatu tu na zimeainishwa vizuri ndani ya biblia na hazifanyiki nje ya upeo wa jicho la mumewe.
 
Ndo hapo sasa tujue imekula kwetu; wenzetu wahindi na waarabu wanaojitahidi kuzingatia si unaona ndoa zao zilivyosimama? hata ukimwi kule ni lugha mpya.

Wanajitahidi sana na ukimwi si kwa kiwango kikubwa ila bado na wao wanatendana sana tu
 
Hawakawii kukuita mwanaume suruali au marioo
Tena hao wa kusubili ziletwe huwa wanaongoza kwa ulalamishi na kejeli maana hajui kukosa ni nini anadhani unafanya makusudi ukimwambia mshahara au pesa imechelewa huelewi anajua kuna mtu mwingine maana wengi wao hawajiamini
 
hahahaha wanaume mnaogopa kuasaidiwa majukumu yenu,suluhisho ni kupambana na adui yako nikimaanisha kutimiza wajibu wako usiache pengo hata moja ikiwemo kitandani,ukifanya yote hayo lakini halidhiki ujue umeoa kahaba.
 
ntunze mtt wa mwanaume mwenzangu?hata kama kitanda hakizai haramu...no way!
unasema tu rafiki omba Mungu yasikutokee...maana hizi mambo nyakati nyingine si rahisi kufahamu kama unayemtunza siye mwanao
 
hahahaha wanaume mnaogopa kuasaidiwa majukumu yenu,suluhisho ni kupambana na adui yako nikimaanisha kutimiza wajibu wako usiache pengo hata moja ikiwemo kitandani,ukifanya yote hayo lakini halidhiki ujue umeoa kahaba.

Maneno matamu hayo.wayajua lakini au waangalia kwe movies ee mrembo?
 
Maneno matamu hayo.wayajua lakini au waangalia kwe movies ee mrembo?

duh nini maana ya mrembo,usijekuta mi ndie bi kidude tehteh tehteh hayo maneno nayajua ila sijapata pa kuyatumia.
 
Ukimchunguza kuku atakushinda kumla...halua haina makombo..
Na wala si sabuni useme itaisha!haina mhuri wa kukudhibitishia kuwa mwenzio kalala nayo mpaka asbh.ila yote kwa yote ni tabia ya mtu na si wote wanafanya hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom