Hili nalo neno: Haya ndo Mapenzi ya Sasa...?

Chipolopolo

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
1,432
Reaction score
746
HAYA NDO MAISHA: Unamnunulia mke wako SIMU, mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA; Huo ni mgawanyiko wa majukumu.Unamlipia mkeo ADA ya chuo,mwanaume mwenzako anamlipia kodi HOSTEL; Huo ni mwingiliano wa majukumu.
Unamnunulia mke wako CHUPI; Mwanaume mwenzako ANAMVUA;Huu ni mgawanyo wa mapenzi.Umwomba mkeo mfanye SEX japo kwa dakika chache, mwanaume mwenzako anambembeleza mkeo wakalale mpaka asubuhi pindi unapo safiri.HAYO NDIO MAPENZI YA SASA! (Nimetumiwa sms hii na rafiki yangu.Ambaye yeye kiukweli maelezo haya yanaakisi uhalisia...mkewe yuko chuo...!)

Wanajamvi: Kuna ukweli wowote katika haya? Nataka nitafakari.Nichukue hatua....
 
mameyataka mwenyewe...nani anaoa alafu mke anakaa mbali na wewe kidume chako. yote hayo ni kweli...wacha wakugegedee tuu mwana
 
Aaah... Sio kweli bwana..! Mtaogopesha wenzenu wasioe buree..!
 
Inawezekana na yeye ana majukumu kwa mwingine ndio maana ana mashaka
 
mameyataka mwenyewe...nani anaoa alafu mke anakaa mbali na wewe kidume chako. yote hayo ni kweli...wacha wakugegedee tuu mwana
Hapo ndo umekomesha. Mkeo kulala na kuamkia usikokujua ni agizo la nani mungu aliye hai au mungu wa freemason anayeongopea wanawake kuendesha maisha huria ya kuasi waume zao. Ukiyakubali ya firauni usiyalalamikie.
 
Umeuaaaaaje...?
 
Hayo yapo ila hii story ya kutunga, hata kama umetumia na huyo ndg yako ukweli hana mke aliye masomoni wala nini, au wewe mwenyewe ndo mwenye mke, Funguka vizuri mkuu
 
Mkuu Lyagwa: umenfanya ncheke.ukweli wauma!
 
Mpaka hapo naelekea kukoma hata kabla hawajazaa naye

Ngoja azae sasa ndo utakoma zaidi maana umeshindwa kujipanga na kufanya mambo katika wakati maalumu.
Sasa kizaazaa kitakuja pale uttakapoanza kumtunza mtoto wa mwanaume mwenzako sababu ya ujinga wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom