Tena jaba lenye maji machafuKilichofanyika katika hiyo Wizara ni kuchelewa kuondolewa ' Pipa ' na kuwekwa ' Jaba ' kwa haraka. Naomba niishie hapa tafadhali.
Umeandika ukiwa unaelewa unachokiandika ukilinganisha na mada?Wanatekeleza Ilani ya CCM kisheria wala hakuna jipya hapo kila kitu kimeanishwa ndani ya Ilani ya CCM namna gani Serikali itafanya kazi za utekelezaji baada ya uchaguzi....kama ambavyo CHADEMA nayo kama ingeshinda Serikali ingetekeleza Ilani ya CHADEMA yakiwemo na hayo Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
UTAPATA TAABU SANAAAAAA
Wanatekeleza Ilani ya CCM kisheria wala hakuna jipya hapo kila kitu kimeanishwa ndani ya Ilani ya CCM namna gani Serikali itafanya kazi za utekelezaji baada ya uchaguzi....kama ambavyo CHADEMA nayo kama ingeshinda Serikali ingetekeleza Ilani ya CHADEMA yakiwemo na hayo Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
UTAPATA TAABU SANAAAAAA
Mbele yako ndiyo yanayo sikitisha kwetu sisi ni kufurahisha tuYaliyopo mbele yetu yanasikitisha!!
Well saidWanatekeleza Ilani ya CCM kisheria wala hakuna jipya hapo kila kitu kimeanishwa ndani ya Ilani ya CCM namna gani Serikali itafanya kazi za utekelezaji baada ya uchaguzi....kama ambavyo CHADEMA nayo kama ingeshinda Serikali ingetekeleza Ilani ya CHADEMA yakiwemo na hayo Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
UTAPATA TAABU SANAAAAAA
Saaafi sana na bado walahiWanatumia ilani ya chama kuongoza nchi badala ya katiba Na sheria.
Yajayo yanafurahisha walahihahahha raha sanaa
SawaMbele yako ndiyo yanayo sikitisha kwetu sisi ni kufurahisha tu
Naona unatumia nguvu nyingi kupinga taratibu na sheria za nchi....Serikali iliyopo madarakani inatekeleza ilani ya CCM baada ya uchaguzi wa mwaka 2015....sasa sijui unaongea nini na unapinga nini.
Yah, ni lazima waitumie ilani ya chama kwa kuwa kwenye ilani ya ccm kuna kipengele cha kulinda amani na usalama wa taifa na wenye jukumu la kufanya hivyo ni maafisa wa vyombo vya ulinzi. kwa hiyo, wako sahihi kutumia ilani ya chama.Juzi wakati Mheshimiwa Waziri wa ndani akihutubia maafisa wa juu wa vyombo vya ulinzi aliwauliza ni wangapi wana ilani ya chama na wanyooshe juu.
Wakabaki kutazamana tu kila mtu anamuangalia mwenzake.
Hivi jamani Afisa wa polisi, magereza, uhamiaji au zimamoto anatakiwa kutembea na Ilani ya chama?
Maana kwa mujibu wa katiba wao wanatumia sheria ya kulinda serikali na wananchi bila kufuata ilani yoyote.
Je, huyu waziri anajua majukumu ya jeshi au ndio utaratibu Mpya?
Alloooo!!!!!!!
Unongea nini na unakanusha nini.....Serikali inatekeleza Ilani ya CCM unataka au hutaki na kila mtumishi anawajibika kwa hiyo Ilani kwa namna moja au nyingineKwa mfano Kamishna wa uhamiaji au Magereza au ma afisa wao wanarejea kwanza kwenye ilani ili watimize majukumu yao ya kila siku?.....Kwa akili yako ilani uliyoitumia kuombea kura ikishakubalika na wapiga kura, unaenda kuitekeleza kwa kurejea nyenzo gani?..ukisema utakomesha ufisadi kwenye ilani, unadhani utaanza kukamata tu watu mitaani au kuna sheria na taratibu utazifuata? .Ilani si MAISHA ,ni ahadi ya NAMNA bora zaidi ya kuishi!
Daaaaaaah we mbona unaongea ka hauna akili vile, ushabiki utatuua watanzania.Wanatekeleza Ilani ya CCM kisheria wala hakuna jipya hapo kila kitu kimeanishwa ndani ya Ilani ya CCM namna gani Serikali itafanya kazi za utekelezaji baada ya uchaguzi....kama ambavyo CHADEMA nayo kama ingeshinda Serikali ingetekeleza Ilani ya CHADEMA yakiwemo na hayo Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
UTAPATA TAABU SANAAAAAA
nadhani hujui serikali inafanyaje kazi zake baada ya uchaguzi...sio kosa lako ni elimu uliyokuwa nayo.....Daaaaaaah we mbona unaongea ka hauna akili vile, ushabiki utatuua watanzania.
Vyombo vya ulizi vinatumia sheria zilizotungwa na bunge kutekeleza majukumu yake. Au unataka kuniambia Ilani ya ccm ndo sheria.
Mana sijawai ona hata siku moja police wakimkamata mtuhumiwa wanamwambia unashtakiwa kwa mujibu wa Ilani ya ccm.
Sasa shangazi yako akileta fujo huko kusini kama wakati wa gesi unataka Serikali imchekee tu...........atapata tabu sanaaaaa au kipigo cha mbwa koko.....Hivi kwa nini watanzania sisi ni wanafiki sana.
Yaani tupo tayri kuupotosha umma ili tu mabosi waliotuteua tuwaridhishe.
Juzi hapa uingereza wazira wa mambo ya nje amejiuzulu kwa sababu anaona anachokiamini akiendani na anachokiamini aliyemteua. Uku Tanzania mtu amekuteua afu anakuambia nitawavunja shangazi zako afu unaenda kwenye majukwaa unamsifia.
Daaaaaaah watanzania kwa unafiki mmenishinda
Kwa staili hii nchi kuja kuendelea ni vigumu sana.
Ukweli unaujua ila umeamua utetee tumbo lako na si vizazi vyako pole sana. Ndo nyie mnazaa watoto afu unatoa kafara. Wewe unadhani unayoyatetea hapa hayatawathiri watoto wako.nadhani hujui serikali inafanyaje kazi zake baada ya uchaguzi...sio kosa lako ni elimu uliyokuwa nayo.....
Unongea nini na unakanusha nini.....Serikali inatekeleza Ilani ya CCM unataka au hutaki na kila mtumishi anawajibika kwa hiyo Ilani kwa namna moja au nyingine