Hili la 'Ustawi wa Jamii' lipo sawa jamani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la 'Ustawi wa Jamii' lipo sawa jamani??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kibaranchia, Aug 15, 2011.

 1. k

  kibaranchia Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana fj tushirikiane kuhusu hili..wiki mili zilizopita chuo cha ustawi wa jamii kilifungwa na serikal kwa muda uliojulikana kutokana na mgomo wa haadhiri,chakushangaza pamija na kuwa ni mgomo wa wahadhiri wanafunzi wanakuwa ndio waadhirika wakuu kwa maana ya kufukuzwa katika hosteli za chuo na kutakiwa kutonekana eneo la chuo..lakini wakati huo wote waliogoma yaani walimu wanaendelea kuingia na kutoka jee hii ni sawa??Habari leo gazeti la jana limemnukuu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi akidai chuo kufunguliwa tarehe 22 lakini sababu za mbgogoro uliopo hazija shughulikiwa kwa muda wote kilipofungwa na wahadhiri wamesema hawapo tayari kurejea kazini>>hii wizara ya afya kwa nini inawalinda management ambayo hata NACTE wamesema haikizi vigezo??
   
Loading...