PICHAZ: Yaliojiri Ustawi wa Jamii, Tamasha la Sugu na Vinega

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050

Sister P akikamua

Zay B jukwaani

Daz baba akifanya kweli

DJ Sox akifanya mambo yake

Mkoloi akiwa kazini



Mr Simple, Diwani wa Ticket ya CHADEMA

Mashabiki wakipagawishwa

Sugu akifanya mambo

Wasanii wa kizazi kipya waliowahi kutamba zamani waliounda kundi la Vinega wakiongozwa na Mkurugenzi wa Deiwaka Entertainment, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ (pichani juu) usiku wa kuamkia leo wamefanya onesho lililohudhuriwa na maelfu ya watu katika Viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar es Salaam. Hapo juu ni baadhi ya matukio yaliyojiri kiwanjani hapo:.

Machizi mko fiti????? Mheshimiwa Mbowe (Mwenyekti wa CHADEMA) akiwasalimia mashabiki waliohudhuria tamasha viwanjani hapo

Mashabiki wakiitia salamu ya Mbowe, Tuko bomba ile mbayaaaa
source: wajanja club blogs
 




Sugu kazini




Mmoja wa Mashabiki wa Mbunge wa Mbeya Mjini- Chadema Joseph Mbilinyi ‘Sugu akionyesha Kopi ya kitabu maalum cha maisha ya Mheshimiwa huyo kwenye tamasha la Vinega








 
Duh mbona umati unasalimia kwa alama v hawa ni chadema au kwa sababu pia sugu alikuwa mmoja wa waandaaji?? Ufafanuzi please log off
 
Duh mbona umati unasalimia kwa alama v hawa ni chadema au kwa sababu pia sugu alikuwa mmoja wa waandaaji?? Ufafanuzi please log off


Fuatilia kwanza maana ya hyo alama ya vidole viwili ndipo ukurupuke kuuliza swali lako.. Hata kule Misri, Libya, n.k. Walikuwa wanaitumia, je nao pia ni CHADEMA?
 
Safi Sugu.... Clouds na u*enge wao wabaki hivyo hivyo,wasidhani maoni yao(hasa ya kibosi chao ruge) yanaweza tubadilisha wasikilizaji. We are grown ups, na zama hizi si za kufundishwa kufikiria. Siku zao zinahesabika,na upendeleo wao wa wazi wazi una mwisho. F*u*k them
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom