Hili la mwenge limekaaje aisee

Hili la mwenge limekaaje aisee

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
13873006_982168538548452_4106995207285114608_n.jpg
 
Ccm Hiyo
Halafu Rais Alisema Ni Ile Ile Ndiyo Maboss Wa Serikali
 
huko mbele watu watachapwa viboko kwa mtazamo huu.........!!!
 
Hakuna sheria ya kulazimisha kuhudhuria mbio za mwenge kwa mtumishi wa umma, zaidi zaidi huyo DED atakufanyia vitimbi ktk utendaji wako wa kazi mpaka utaomba kiama kije tu. Wanasheria wanasema unaweza fukuzwa kazi kwa wewe mwenyewe kuandika barua ya kuacha kazi, say "constructive dismissal"
 
huko mbele watu watachapwa viboko kwa mtazamo huu.........!!!

Upo wakati...wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...walipinga utaratibu wa kukatwa asilimia 10 ya mishahara yao na pia suala la JKT na wakasema huku wakijidai 'AFADHALI YA MKOLONI'....kilichowapata baadhi yao ni kuchapwa viboko na 'kufukuzwa' chuo kwenda nyumbani...ukiwauliza siku hizi suala hilo (hivi sasa ni wazee) hawataki kulizungumzia kabisa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom