Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 383
- 507
Mwenge wa uhuru unazimwa mkoani Rukwa. Umeeneza falsafa ya nchi, uzalendo, na umeleta maendeleo kwa wananchi.
Naam, wananchi wamedurahi kuushika na kuukimbiza mwenge. Wamefungamanishwa na nchi yao.
Naam, wananchi wamedurahi kuushika na kuukimbiza mwenge. Wamefungamanishwa na nchi yao.