Hili la mwanamke kubeba jeneza ndo mila za Kiafrika au usasa?

Kwani kuna sehemu wameandika mwanamke haruhusiwi kubeba jeneza
 
Nini ajabu!

Makamanda hawachagui kazi..!

Kamamanda huyu, sio Juliana Shonza..! Anaililia ukutani za wabunge wa ccm
 
Itikadi za dini kisiwe kigezo cha utamaduni wa mwaafrika.Acheni uongo na unafiki.Ni jambo la mazoea tu lakini hakuna mwiko wa mwanamke kubeba jeneza;.Isitoshe imani ya dini hiyo siyo imani ya dini inayokataza wanawake kushiriki maziko.Staarabikeni kwa kusoma alama za nyakati.
 
Kisa chadema ndio wamebeba imekua habari! Vichaaa ni wengi ule utafiti unamakosa!
 
Binafsi, nimekuwa nikihudhuria misiba mingi ila sijawahi bahatika kuona mwanamke amebeba Jeneza. Isipokuwa kuna baadhi ya mila huwa zinawapa wanawake namlaka yote kuzika watoto wachanga waliokufa kabla au wakati wa kuzaliwa...
Kunakitu nimeongeza ktk maisha yangu kutokana na hili...
 
Sote ni binadamu tofauti ni jinsia,,,,,kutendeana wema hakuulizi ni mke au mume ,,,,bora mwanamke aliebeba jeneza kuliko mwanaume mshika dini ambaye ni mnafki na mzinzi anaejificha
 
Unashangaa mwanamke kubeba jeneza? Mbona watu hufia mikononi mwa mwanamke? Mbina wanawake huosha maiti? Hilo haulishangai? Mbona katibwa inavunjwa hilo haulioni?
 
Acheni ubwege someni zakaria 12/12 wanawake peke yao na wanaume peke yao kwa hiyo mnamuona yuho mzee ndesa kama nabii wa chadema mnakua na jazbaa vitu vidogo tu mbona hospitali wanaume peke yao na wanawake peke yao namajela ni hivyo mahabusu ni hivyo hata masister nao wanalala peke yao mtu tutusa ni tutusa acheni ubashite( o) brein
 
wajinga wapo wengi kweli ndio maana kwenye nyumba za ibada mnawatenga wanawake kivyao lakini kitandani mnalala pamoja,huo ni ubaguzi tu wa utumwa wa kwenye vitabu
Kweli kabsaa mkuu yaani hawa watu waajabu sanaaa
 
Sote ni binadamu tofauti ni jinsia,,,,,kutendeana wema hakuulizi ni mke au mume ,,,,bora mwanamke aliebeba jeneza kuliko mwanaume mshika dini ambaye ni mnafki na mzinzi anaejificha
Safi unafiki Hatariiii sana wanazin na wanawake wengi wanajidai wafia dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…