Kwahiyo Mzee Ndesapesa alikua wa kike?Mbona hata askari wa kike akifariki ana bebwa na askari wenzie wa kike wa cheo chake
haya ji jibu tu mwenyewe ndugu yangu WonderfulKwahiyo Mzee Ndesapesa alikua wa kike?
Tuache kujitoa ufahamu ni lini kwenye familia zetu jeneza lilibebwa na wanawake
Alikuwa mbunge na hapo kabebwa na wabunge nyamaza kuficha ujinga wakohaya ji jibu tu mwenyewe ndugu yangu Wonderful
Una niruhusu na mimi nikutukane?Alikuwa mbunge na hapo kabebwa na wabunge nyamaza kuficha ujinga wako