Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Leo Mh.Rais ametamka kuwa watumishi Raia hawatakiwi Majeshini, lakini je ametumia muda kulifikiria hata kuomba kushauriwa na kujiuliza chimbuko la majeshi kuwa na Watumishi Raia?
Kwa uelewa wangu Mdogo nadhani kuwekwa Watumishi Raia kwenye Majeshi ilikuwa ni kuwadhibiti hawa wanaojiita afande hususani katika Amri zao.
Mfano mkubwa wa taasisi ya Jeshi mathalani RPC anamfuata Mhasibu na kumwambia lipa haya malipo, na kanuni ya Jeshi ni Tekeleza kwanza ndiyo hoji baadaye.
Sasa kwa upande wa Watumishi Raia walikuwa na nafasi ya kuhoji anachoona hakielewi, Askari huwa hawana hiyo nafasi.
Kwa maoni yangu anawaruhusu kwenda kufanya madudu ambayo wenzao waliyomtangulia Rais waliyaona hayo na ndiyo maana waliweka watumishi Raia humo kwenye majeshi.
Na akiwanyanyasa saana hawa Askari kiukweli anajua madhara yake.
Hata hivyo tunawakaribisha huku kwingine watakaoondolewa huko Majeshini. Karibuni.