Hili la kutoa watumishi raia kwenye majeshi naona halijakaa poa!

kwa hiyo hata wafagizi ,wapika chai watakuwa polisi na wanajeshi ,Mkuu wa kaya hapa anatakiwa afikirie nje ya box

Nakubaliana na mkuu wa nchi, watumishi wote wa majeshi wanatakiwa wawe wajeshi ndio mana wanaajiri kuanzia darasa la saba na kuendelea,hapo watapatikana wafagizi,wapishi nk,,,,sababu ni utii na viapo ni vya uzalendo zaidi
 
Wataalam wa IT vipi?

Ila Kama nimeelewa kuwa wakiona wanawazuia kwenye kazi zao ndio wawatoe... na hilo sidhani kama ni jambo la kushauri Polisi kwani ni sehemu ya uwezo wao kuendelea nao au kuwatoa.... Ni Ushauri usiohitajika sehemu husika au kuna jambo limejificha humo... pengine kuna watu wamechomekwa kwa Mgongo wa kigogo au vigogo fulani fulani hatari...
Naamin umefikiria mbali zaid! Sifahamu sn utumishi wa raia ndani ya majeshi lkn kuna uwez kano raia ndo watumizi wabaya wa mamlaka zao jeshin!
Mfano utoajj wa siri,.au chukulia raia akamatwe uraiani kwa kosa fulan afu awe anafahamiana mtu jeshin lazma atamsumbua polisi!
By the way wapo pale kubalance Power kati ya utumishi na sheria za jeshi. Othrwyc i thnk kuna kanuni za kubadili ili watumish wanajesh(non combat) wawe na mamlaka katka kufnya maamuz!
 
Rais kabisa kabisa aidha hajui anabahatisha tu katka hili ama kapotoshwa.
 
Nakubaliana na mkuu wa nchi, watumishi wote wa majeshi wanatakiwa wawe wajeshi ndio mana wanaajiri kuanzia darasa la saba na kuendelea,hapo watapatikana wafagizi,wapishi nk,,,,sababu ni utii na viapo ni vya uzalendo zaidi
Kawasikiliza na ndiyo maana anafanya maajabu haya! Nchi inaongozwa kwa matamko tu na kanuni, taratibu na sheria.
 
Back
Top Bottom