Hili la kutoa watumishi raia kwenye majeshi naona halijakaa poa!

Kwahiyo kiapo cha raia na askari ni tofaut?
Raia huwa wanashirikia wanashiriki vikao vyao vya intelijensia?
Kama mtu si muadilifu hata awe rais atatoa hizo siri unazozisema..
Unajua maana ya depo? Kama unadhan askar ni kuvaa uniform na kukok bunduki na kula kiapo basi tungekuwa na maaskari wengi sana.
 
Kila kitu kwenye maisha kina combination tazama
Mwili wa binadamu ni combination ya nyama mifupa mishipa damu nk
Gari ni combination ya vyuma plastics mabati mipira wire nk
Chakula pia kina combination yake
Combination haikwepeki kwenye maisha ya binadamu, kitu kisicho na combination huwa na mapungufu mengi
Walioweka mfumo wa kuchanganya wanajeshi na raia kwenye utendaji wa kila siku jeshini walizingatia hii kanuni ya kiasili ya kuchanganya. ...sasa hii inayotaka kuletwa hapa na huyu mhishimiwa sidhani kama aliwaza kwa weledi
 
Tambua kwanini Raia waliwekwa kwenye Majeshi? Kumbuka hata zamani hao askari wenye fani hizo walikuwepo.
Mimi naungana na kauli ya Raisi kwa ulimwengu wa sasa na changamoto zake yafaa hiwe hivyo,huyo mfanyakazi yafaa awe na ethics na ABC za ulinzi na usalama wetu.
 
ningepata yai kama hili ningejidai sana ila ndio hivyo ticha wangu wa yai baada ya mimi kufika form four nikagundua najua zaidi yake
Hahaha, JF kweli burudani. Ila wananikera na tabia zao za kufungia watu hovyohovyo for trivial things. Ukiandiks tu J.esca kilaz.a unafungia. Is this really a place where we dare to talk openly? Tafadhali mods! Mtu afungiwe kweli kwa kufanya kosa kubwa. Sio kumtaja mtoto rais kwa kunukuu maneno ya rais mwenyewe unanifungia! Sad!
 
Raia wote wa JWTZ nao watolewe kuna wanajeshi wengi wamesoma wanaweza kufanya kazi tena aanze na hospitar za jeshi awatoe manesi raia wanajeuri sana harafu wanapenda hela kuliko kazi.
Sawa afande!
 
Leo Mh.Rais ametamka kuwa watumishi Raia hawatakiwi Majeshini, lakini je ametumia muda kulifikiria hata kuomba kushauriwa na kujiuliza chimbuko la majeshi kuwa na Watumishi Raia?

Kwa uelewa wangu Mdogo nadhani kuwekwa Watumishi Raia kwenye Majeshi ilikuwa ni kuwadhibiti hawa wanaojiita afande hususani katika Amri zao.

Mfano mkubwa wa taasisi ya Jeshi mathalani RPC anamfuata Mhasibu na kumwambia lipa haya malipo, na kanuni ya Jeshi ni Tekeleza kwanza ndiyo hoji baadaye.

Sasa kwa upande wa Watumishi Raia walikuwa na nafasi ya kuhoji anachoona hakielewi, Askari huwa hawana hiyo nafasi.

Kwa maoni yangu anawaruhusu kwenda kufanya madudu ambayo wenzao waliyomtangulia Rais waliyaona hayo na ndiyo maana waliweka watumishi Raia humo kwenye majeshi.

Na akiwanyanyasa saana hawa Askari kiukweli anajua madhara yake.

Hata hivyo tunawakaribisha huku kwingine watakaoondolewa huko Majeshini.
Karibuni.
Magufuli hataki hayo mambo mkuu,huu ni muda wa kila mtu kufuata sheria na kutekeleza wajibu wake..kama mkuu wa polisi atamlazimisha mhasibu aliye chini yake avunje sheria basi inatakiwa wote wawajibishwe maana ethics za kiuhasibu haziruhusu.lkn pia kama umemsikiliza hotuba yake leo amewaasa makamishna kuwapa nafasi polisi wadogo ili wafanye kazi kulingana na taratibu na akasema sheria ni msumeno.
 
Zamani wanajeshi walikuwa darasa la saba lakin siku hizi ni wasomi balaa na wanauwezo mzuri sana wa kufanya kazi, Raia wanatoa siri hadi bar.
 
COPY AND PASTE

Kama nilivyokuambia kwenye hii issue ilipo anza, tabia yako ya dharau na matusi ndiko unakokimbilia. Umetoa hoja ambazo huwezi kuzi-backup, hapa sio mahali pa majungu.

Kitu unachojua ni ‘copy and paste’, nafikiria ni vizuri uwe kama wengine kama huna point nyamaza na soma ya wenzio waliobobea.

Mimi ni Mtanzania na haina sababu yoyote kama natoka sehemu yoyote ile la msingi ni hilo. Unavyofikiri wewe sio ninavyofikiri mimi.

Jaribu plagiarism Mlandege maana huko ndio hawawezi kufahamu. Hapa umefika kwenye open world.

alamsiki

WACHA
Kuanzia 2011 Majeshi yamekuwa yanaajiri watumishi wenye profession mbalimbali(ICT,Law,Engineering,Accountant,Procurement,Medical)
 
ningepata yai kama hili ningejidai sana ila ndio hivyo ticha wangu wa yai baada ya mimi kufika form four nikagundua najua zaidi yake
Hongera kaka kwa kumtoa knock out ticha wako kwenye kimombo. anyway mimi mwenyewe nimeangalizia kwa mtu hapa mkuu. Tunajifunza slowly :):):):)
 
Pengine ile Story ya Sare hewa za Polisi ni raia aliyeisanua... Hamna namna watoke tu...
 
kwa hiyo hata wafagizi ,wapika chai watakuwa polisi na wanajeshi ,Mkuu wa kaya hapa anatakiwa afikirie nje ya box
Umewahi kwenda kambi ya jeshi yoyte ya JWTZ ukakuta raia wafagia, wanapika, wanafyeka majani?
 
Back
Top Bottom