Kwangu mimi Diamond kugewa bendera kuipeperusha ni swala la kiushindani zaidi kati yake na hasimu wake kimuziki.
Karibuni tu mashabiki wake watasema unaona tumegewa mpaka bendera? Nyinyi mmegewa nini?
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye, akimkabidhi bendera msanii wa Bongofleva Nasib Abdul(Diamond Platnum) anayekwenda kutumbuiza katika ufunguzi wa mashindano yatakayofanyika Januari 14 nchini Gabon iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Acheni kulalamika wa hovyo nyinyi. Kuchagulia kwa D kwenda Gabon shida nini sio kila kitu mnalalamika tuu nyambavu zenyu. Dogo amejipanga ndiyo maana mambo yanamwendea powa. Kwa mpila gani unaochezwa bongo! mm naona ni wakati sasa wa serikali kuwekeza kwenye mziki kwa maana ndiyo unafanya powa kuitangaza Tanzania lakini sina maana ya kuacha kufanya mikakati thabiti ya kukuza soka bongo I hope tutafika tuu God willing!! Big up diamond big up Mbwana Samatha....!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.