misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,646
- 9,341
Ujawahi kuona mkuu wa kitengo cha farasi au mbwa wa Dar es salaam ana nyota mbili ili hali kuna watu wana rank zaidi wameachwa?kwa hiyo kwa kuwa na elimu nzuri ma uzoefu hata angekuwa superintendent wa polisi angewekwa juu ya brigedia jenerali! acha ishabiki kwa kuwa wewe ni polisi! tufuate heshima ya kijeshi! INGEKUWA Diwani ni mstaafu sawa! angebebwa na huo u DG, sasa itakuwaje tena CP apigiwe saluti na watu level ya ujenerali?
NAKUPA MFANO MMOJA! huwezi kukuta mwanajeshi chini ya GENERAL wa nyota nne kwa tanzania kuongoza wizara ya ulinzi kama katibu mkuu! lakini kwa wizara ya mambo ya ndani ni sawa kabisa
hapo ndo utaelewa kuwa hivi nyeo na heshima zake kiitifaki
Sent using Jamii Forums mobile app