Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,265
- 7,405
.Wataalamu mtusaidie kwa seniority ya Kijeshi hapa! Je ni sawa naibu DG wa Takukuru ambaye ni Brigedia Jenarali halafu juu yake yupo Kamishna wa Polisi, je kiheshima ya kijeshi nani ni juu ya mwenzie?
au ni bora liende tuu! ina maana Brig Gen anampigia saluti CP?
Wataalamu mtujuze hapa
Mleta mada hana shida na utendaji kazi wao soma vizuri madaKwani salute au cheo cha kijeshi ndicho kinapambana na mafisadi!?
Mleta mada hana shida na utendaji kazi wao soma vizuri mada
hii mie sijaipenda kwa kweli! Rank za majenerali si za kuzichukulia mzaha mzahaKwa taarifa tu kijeshi,
Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.
Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.
Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ
NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
Je yapi Madhara ya uvunjaji wa protocol MkuuKwa taarifa tu kijeshi,
Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.
Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.
Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ
NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
IGP sio cheo cha kijeshi nakukumbushaKwa taarifa tu kijeshi,
Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.
Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.
Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ
NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
Ni sahihi
kwa hiyo kwa kuwa na elimu nzuri ma uzoefu hata angekuwa superintendent wa polisi angewekwa juu ya brigedia jenerali! acha ishabiki kwa kuwa wewe ni polisi! tufuate heshima ya kijeshi! INGEKUWA Diwani ni mstaafu sawa! angebebwa na huo u DG, sasa itakuwaje tena CP apigiwe saluti na watu level ya ujenerali?Nadhani Kamishna wa Polisi sio MTU mdogo kama itifaki ikizingatiwa pia .
Kwanza kuhusu suala la makosa ya kijinai yule bwana amebobea sana.
Nadhani kiitifaki pia huyo CP alikua yuko ngazi ya pili ukitoka IGP.
Nadhani hatujajua hata kitaaluma wako vipi lakini wote wana shule ya kutosha pia.
Kwenye utendaji wa kiserikali kw a pamoja hua watu hawatoki na vyeo vyao vya awali.
Unapochaguliwa na Rais unakua ni level ya juu kiutendaji. Ndio maana wanajeshi wenye nyota moja wana level ya juu kutokana na kuwa wanapewa na Rais .
Ishu hapo ni madaraka waliyopewa na Rais.
CP ni ngazi ya Rais na pia Brig.General ni ngazi hiyo hiyo. Wanafanya majukumu waliyopewa na Rais sio jeshi.
Wakati mwingine tusipoteze muda kwenye vitu ambavyo havilisaidii Taifa.
Labda tungekosoa kuwa ni kwa nini pameibuka mtindo wa sasa wa wale wanaohamishiwa idara nyingine wanapopewa nafasi wanavaa Jezi za majeshi wakati hii ni nchi ya kidemokrasia na kiraia.
Kikwete alikua Mjeda lakini hakuwahi kuvaa Jezi ya Jeshi.
Sent using Jamii Forums mobile app