Hili jambo liko sawa?

Hili jambo liko sawa?

Kuna Kampuni Moja ya Mtu Binafsi, ni Kampuni kubwa sana kwa bahati mbaya Mwenye Kampuni alifariki, kipindi cha uhai wa mwenye Kampuni kama wafanyakazi na wageni walikuwa wakipatiwa bure Kahawa, Maji, Chai, Soda na vitu vidogovidogo vya Jikoni vilikuwepo ni Kampuni ilikuwa inatoa Hela hivyo vitu vinanunuliwa.

Kwasasa hivi Kampuni inasimamiwa na Mke wa Marehemu, anabana matumizi anataka Wafanyakazi watoe Hela zao wanunue vile vitu ambavyo vilikuwa vinanunuliwa na Kampuni, Je hili liko sawa?
Mtongoze huyo mjane...
Ukifanikiwa..utajua kwa nini mwenye mali akifa anaondoka na vilivyo vyake
Shukuru Mungu bado kampuni ipo hai.
 
Back
Top Bottom