Hili jambo liko sawa?

Hili jambo liko sawa?

Hapo sio sawa, hizo za wageni office inawajibika. Je wafanyakazi hawatotumia vitu vya wageni?
Wafanyakazi hawawezi kutumia vitu vilivyotengwa kwa ajili ya Wageni, tatizo liko kwa wafanyakazi kutoa Hela kwa ajili yao na Wageni.
 
Wafanyakazi hawawezi kutumia vitu vilivyotengwa kwa ajili ya Wageni, tatizo liko kwa wafanyakazi kutoa Hela kwa ajili yao na Wageni.
Groceries za wageni office itoe pesa then kwa wafanyakazi kila mtu ajijue atapata vipi breakfast au hiyo inahusu mpaka maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser pia wafanyakazi wanatakiwa wanunue ?
 
Groceries za wageni office itoe pesa then kwa wafanyakazi kila mtu ajijue atapata vipi breakfast au hiyo inahusu mpaka maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser pia wafanyakazi wanatakiwa wanunue ?
Kwa wafanyakazi kujitegemea hiyo siyo shida.
 
Kwa wafanyakazi kujitegemea hiyo siyo shida.
Shida hapa ni kwamba ana Roho ya kimaskini alikuwa anaumia sana kipindi wafanyakazi wanapata hivyo vitu bure, sasa hivi kwa vile yeye ana Hela ananunua hivyo vitu akidai anatumia hela yake na siyo ya Kampuni kwahiyo anataka na wafanyakazi wafanye hivyohivyo kitu ambacho ni ngumu kutokana na hali halisi ya maisha ni sawa na kutoa Maji kwenye Mfereji na kupeleka Baharini.
 
Kuna Kampuni Moja ya Mtu Binafsi, ni Kampuni kubwa sana kwa bahati mbaya Mwenye Kampuni alifariki, kipindi cha uhai wa mwenye Kampuni kama wafanyakazi na wageni walikuwa wakipatiwa bure Kahawa, Maji, Chai, Soda na vitu vidogovidogo vya Jikoni vilikuwepo ni Kampuni ilikuwa inatoa Hela hivyo vitu vinanunuliwa.

Kwasasa hivi Kampuni inasimamiwa na Mke wa Marehemu, anabana matumizi anataka Wafanyakazi watoe Hela zao wanunue vile vitu ambavyo vilikuwa vinanunuliwa na Kampuni, Je hili liko sawa?
Yuko sawa kabisa ndio sera yake na yeye na mtazoea tu
 
Kuwa sahihi siyo shida, shida ni kwanini hatengi Fungu kwa ajili ya Wageni wa Kampuni yake? anataka Wafanyakazi watoe Hela zao.
Labda tueleze vitu gani ambavyo mtumishi anatakiwa amnunulie mgeni? Je, ili kwenye Sera za kampuni? Je, watumishi huwa mnapewa allowance kwa ajili ya kukirimu wageni? Kama haipo wewe unanunuaje vitu kwa ajili ya wageni?
 
Back
Top Bottom