Hili jambo je?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili jambo je??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Najuta Kukufahamu, Mar 4, 2012.

 1. Najuta Kukufahamu

  Najuta Kukufahamu Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Born 15.8.1990

  nimeajiriwa na serikali, mshahara wangu ni zaidi ya $800..nataka kufungua biashara ambayo ni simple but very smart ambayo haita niboa na kunikera wala kunichosha...nimewaza na kutafakari kua biashara ya muziki itaendana na mimi..nimetafakari kwakina outcomes na binafsi nimejiridhisha, je! INALIPAA?? maana nilifungua grocery nikazitundika bia zote..msaada wajameni!!
   
 2. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  unafanya kazi wapi na kazi yako inahusu nn? ili niweze kukupa ideas zinazoendana na ur job.....f u dnt mind.
   
 3. Najuta Kukufahamu

  Najuta Kukufahamu Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muajiriwa wa serikali na ni PR
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Sikuona umuhimu wa kuweka umri wako katika thread hii, anyway wapo watakuja kukushauri.
   
 5. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,356
  Likes Received: 8,479
  Trophy Points: 280
  hapo ktk black unataka tukuhisi kuwa unatafuta sugar mamy/dady!!?:photo:
   
 6. Najuta Kukufahamu

  Najuta Kukufahamu Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeweka hiyo purposely ili mjue aina ya mtu na umri na ideaya biashara ninayoitaka..
   
 7. Najuta Kukufahamu

  Najuta Kukufahamu Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Peleka upuuzi wako MMU kule ndio kuna huo utumbo
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Biashara ya muziki.........ni pana wewe unataraji kudumia eneo lipi katia hii biashara?
   
Loading...