Hili gari BMW 7 limerogwa?

Hili gari BMW 7 limerogwa?

Mkuu huo ndio usafiri wa uhakika hapa mjini.Unafika uendako Just in time.:becky:
 
Bmw kwanini maintanance inakua kubwa Ni kwamba hawana mawakala wengi au Ni Nini?

Mara nyingi nakuta yamepaki ukiuliza unaambia Kuna spare inatakia inauzwa mil 3 na bado haijapatikana.

Naiogopa kwa sababu ya matunzo kipato chenyewe hiki Cha Kuunga unga.

BMW Ni gari Nzuri sana.

Ntanunua niitumie mwaka mmoja kiu ikiisha niuuzee maana najua ntakuja nishinda.
 
Mkuu..ushauri tu...if u like that car just go for it...mm mwaka juzi(november)niliuza ka premio kangu nikataka kununua VW touran..nikaja humu kuona maoni ya wadau...da,yalinikatisha tamaa aisee..ila nikajifunga mkanda nikaamua KUJILIPUA

SIJAJUTA...narudia tena SIJAJUTIA maamuzi yangu..nilikamata yenye cc 1500..utumiaji wake wa mafuta ni mzuri kuliko ka premio kangu ka cc 1490

Watu wengi walitoa maoni kuwa inasumbua gearbox sijui nn...mm mpk leo..ina mwaka mmoja na...haijawahi kunisumbua hyo kitu kbsa...sijawah badilisha spare yeyote ile zaidi service tu..tena nimetoka ifanya mwaka jana...natumia OIL ya LIQUI MOLLY(wajeruman wenyewe)

Spare parts kwa dunia hii si swala la kuogopa...ukishindwa zipata bongo c unaagiza mtandaoni(be forward wana ofis k/koo hao..kama huwez agiza mwenyewe unawafata wanakuagizia)

Ni kwel spare zipo juu kidogo lkn zinahimilika...alafu ni genuine..ukifunga imefunga..sio spare za toyoya hizi..ambazo ni za bei rahisi(na ndo sababu hasa ya wabongo kupenda toyota)lkn ni FEKI..spare nyng za toyota zinazouzwa madukan hazina ubora...ukitaka spare OG za toyota zipo ila ni bei juu ila kwa vile kuna option ya kununua zisizo na ubora...wabongo wengi wanaona hiyo ndo fursa kwao

Magar ya ulaya hayana hyo option ya spare feki au zisizo na ubora...wao ni genuine tu..so bei kdg imesimama...lkn ukifunga umefunga mkuu

Ushaur wangu..nunua hyo gari..watu wasikutishe humu kwa stori za kufikirika..maana wengi humu wanasikia tu stori wanazileta humu..hata kumiliki hizo gari hawajawahi kuzimiliki..na watu km nyny mkiziona ndo mnakata tamaa kbsa

Alafu kingine..gari ni matunzo mkuu..kwani toyota ngapi zipo juu ya mawe gereji bhana..USITISHWE..kamata ndinga hyo

Nikukaribishe rasmi kwenye gari za ulaya(esp VW)..HUTAJUTA
Wakuu that's very good.

Hebu nisaidieni. I am thinking to buy a car for private use hapa mjini. In short I love German cars. Sasa Hebu nipeni mawazo. I prefer to buy VW Tiguan. Kinachonivutia ni size yake....not too big hata kwenye mafoleni yetu na packing zetu za shida hapa mjini. VW Toureg Napenda but I see Kama ni too big kwangu........so I prefer VW Tiguan. Ila I know nothing about cars..that's why I believe..kwenye hii thread naweza kuokota Mawili au matatu.....

So friends any ideas kuhusu hii gari ya VW Tiguan.......vipi kuhusu spare, fuel consumption etc? I will most appreciate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo magari ni mazuri sana, tatizo spares zake ghali na hakuna mafundi wengi Tanzania wayajuwayo, mafundi wengi wa magari hata spana za kufungulia hayo magari hawana (zinahitaji spana mahsusi), mpaka upeleke sehemu maalum na hapa kwetu ni chache sana na ghali sana.

Talking from experience.
Nanunua spana zangu, matengenezo namlipa fundi aliyebobea popote alipo duniani, anatoa maelekezo kupitia video conference anamuelekeza fundi wangu hapa kijijini!
 
vp kuhusu izo electric motor kwny magari je inaweza kua istalled kwny magari ambayo mwanzo hayakua nazo?
Inawezekana ila ni gharama sana.

Aheri uagize gari lenye nayo tu maana kuna vitu itabidi ubadilishe na kuviongeza kwenye mfumo mzima wa engine.
 
Mkuu..ushauri tu...if u like that car just go for it...mm mwaka juzi(november)niliuza ka premio kangu nikataka kununua VW touran..nikaja humu kuona maoni ya wadau...da,yalinikatisha tamaa aisee..ila nikajifunga mkanda nikaamua KUJILIPUA

SIJAJUTA...narudia tena SIJAJUTIA maamuzi yangu..nilikamata yenye cc 1500..utumiaji wake wa mafuta ni mzuri kuliko ka premio kangu ka cc 1490

Watu wengi walitoa maoni kuwa inasumbua gearbox sijui nn...mm mpk leo..ina mwaka mmoja na...haijawahi kunisumbua hyo kitu kbsa...sijawah badilisha spare yeyote ile zaidi service tu..tena nimetoka ifanya mwaka jana...natumia OIL ya LIQUI MOLLY(wajeruman wenyewe)

Spare parts kwa dunia hii si swala la kuogopa...ukishindwa zipata bongo c unaagiza mtandaoni(be forward wana ofis k/koo hao..kama huwez agiza mwenyewe unawafata wanakuagizia)

Ni kwel spare zipo juu kidogo lkn zinahimilika...alafu ni genuine..ukifunga imefunga..sio spare za toyoya hizi..ambazo ni za bei rahisi(na ndo sababu hasa ya wabongo kupenda toyota)lkn ni FEKI..spare nyng za toyota zinazouzwa madukan hazina ubora...ukitaka spare OG za toyota zipo ila ni bei juu ila kwa vile kuna option ya kununua zisizo na ubora...wabongo wengi wanaona hiyo ndo fursa kwao

Magar ya ulaya hayana hyo option ya spare feki au zisizo na ubora...wao ni genuine tu..so bei kdg imesimama...lkn ukifunga umefunga mkuu

Ushaur wangu..nunua hyo gari..watu wasikutishe humu kwa stori za kufikirika..maana wengi humu wanasikia tu stori wanazileta humu..hata kumiliki hizo gari hawajawahi kuzimiliki..na watu km nyny mkiziona ndo mnakata tamaa kbsa

Alafu kingine..gari ni matunzo mkuu..kwani toyota ngapi zipo juu ya mawe gereji bhana..USITISHWE..kamata ndinga hyo

Nikukaribishe rasmi kwenye gari za ulaya(esp VW)..HUTAJUTA

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu asante sana kwa huu ushauri mzuri kabisa. By the way hii post ni ya siku nyingi kidogo 2015. So mengi yameshafanyika tangu kipindi hicho. Mrejesho ni kwamba nilinunua VW Touareg 2015. Nimekaa nayo mpaka last year. Nikaiuza kwa bei nzuri sana tuu. NAOMBA NIKIRI kwamba hakuna gari niliifurahia kama VW. haikuwahi kunipa shida yoyote ile. Nilipata changamoto ya propeller shaft ambayo niliigiza nje. Zaidi ya hapo gari nimetembelea sana kwenda mikoani na hapa mjini pia. very comfortable and reliable kwenye trip za masafa marefu. Mwisho wa siku kama ulivyosema gari ni matunzo.

Kama kuna mtu anapenda kuwa na gari ya Ulaya, I highly recommend German machines. Ni nzuri and you really get value for money.

My next machine should be Ford Ranger ingawa sizijui vizuri..naendelea kujifunza na kupata maoni ya wadau.
 
Wewe ulinunua gari almost new, btw propeller yako imewahi kuzingua nahisi ni barabara zetu zinasababisha vibrations sana. Prop shaft ni shida kubwa kwenye Vw Touareg. Kama uliweza kumudu Touareg, Ford Ranger haiwezi kukusumbua. Chukua Wildtrak 3.2 6speed
 
Exactly that's what I am thinking mkuu.

Yeah hata dealer aliniambia..propeller shaft ndo ugonjwa wa hizi gari. (lakini nadhani ni barabara zetu pia). Lakini Zaidi ya hapo..I very much enjoyed the ride. Gari nzuri kweli kweli!
 
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Mkuu asante sana kwa huu ushauri mzuri kabisa. By the way hii post ni ya siku nyingi kidogo 2015. So mengi yameshafanyika tangu kipindi hicho. Mrejesho ni kwamba nilinunua VW Touareg 2015. Nimekaa nayo mpaka last year. Nikaiuza kwa bei nzuri sana tuu. NAOMBA NIKIRI kwamba hakuna gari niliifurahia kama VW. haikuwahi kunipa shida yoyote ile. Nilipata changamoto ya propeller shaft ambayo niliigiza nje. Zaidi ya hapo gari nimetembelea sana kwenda mikoani na hapa mjini pia. very comfortable and reliable kwenye trip za masafa marefu. Mwisho wa siku kama ulivyosema gari ni matunzo.

Kama kuna mtu anapenda kuwa na gari ya Ulaya, I highly recommend German machines. Ni nzuri and you really get value for money.

My next machine should be Ford Ranger ingawa sizijui vizuri..naendelea kujifunza na kupata maoni ya wadau.

Kusema ukweli mkuu, VW Tiguan ni gari ambayo naipenda sana, mwonekano wake na size yake, sijui technical part yake lakini nimetokea kuipenda sana, sina pesa leo lakini kesho nitainunua!
 
Back
Top Bottom