Hili gari BMW 7 limerogwa?

Hili gari BMW 7 limerogwa?

Post kama hizi sie watumiaji wa Baiskeli Avon Na Phoenix tukae mbali kabisa. Hapa nawaza medigadi yangu inarusha tope wacha kesho niifanyie service.
 
Hayo magari ya ulaya ukiangalia mafuta tu hutakaa muda mrefu litakushinda na utakumbuka Vits yako! Kuna issues zaidi ya mafuta.

Tupe nyama mzee wa vyombo vya moto.
 
Post kama hizi sie watumiaji wa Baiskeli Avon Na Phoenix tukae mbali kabisa. Hapa nawaza medigadi yangu inarusha tope wacha kesho niifanyie service.
Mkuu madigadi yapi bora original au ya mtumba? Maana hatamimi na hitaji.
 
Post kama hizi sie watumiaji wa Baiskeli Avon Na Phoenix tukae mbali kabisa. Hapa nawaza medigadi yangu inarusha tope wacha kesho niifanyie service.

Mud guard. Hairushi tope inazuia tope linalorushwa na tairi lisikuchafue.
 
Kwa Magari ya Toyota kuna Prius hybrid inayotembea mpaka km 28 kwa Lita moja na Harrier hybrid inayotembea km 20 kwa Lita na hii ina Cc 3,000

Mkuu, hybrid huwa ina engine ya kawaida ya petrol, na electric motor kama engine ya pili! Ikiwa mwendo chini ya 60kph,may be a little more or less, inatumia electric motor completely haitumi petrol kabisa! Ila speed ikizidi hio 60kph inatumia petrol engine!

Kwahio kwenye foleni inatumia 0lts ya petrol na njia ikiwa nyeupe ndio inatumia petrol,kama ujuavyo gari ikiwa inatembea speed 80-120kph utumiaji wa mafuta ni mdogo Sana,hivyo overall ndio unapata hizo 30km per liter or more!
 
Wapo kwa sababu Mzee wangu anayo harrier hybrid na ana mafundi wake wanaomrekebishia ikisumbua, huwa anasafiria safari za mbali tu

Mwambie mzee wako hio ni nzuri zaidi mjini kwenye foleni coz haitumii petrol kwenye foleni inatumia electric motor yake
 
napata elimu mnoo apa kupitia hii sred embu wataalamu shusheni vitu hapa
 
vp kuhusu izo electric motor kwny magari je inaweza kua istalled kwny magari ambayo mwanzo hayakua nazo?
 
Wakuu that's very good.

Hebu nisaidieni. I am thinking to buy a car for private use hapa mjini. In short I love German cars. Sasa Hebu nipeni mawazo. I prefer to buy VW Tiguan. Kinachonivutia ni size yake....not too big hata kwenye mafoleni yetu na packing zetu za shida hapa mjini. VW Toureg Napenda but I see Kama ni too big kwangu........so I prefer VW Tiguan. Ila I know nothing about cars..that's why I believe..kwenye hii thread naweza kuokota Mawili au matatu.....

So friends any ideas kuhusu hii gari ya VW Tiguan.......vipi kuhusu spare, fuel consumption etc? I will most appreciate.
 
Inaweza kuwa inatumia mafuta kama Vits ila ikipeleka service unaacha 500,000/- au ukipasua taa 1.5m..si ushawahi kusikia BI-XENON head lamps?! Ukinunua gari inabidi uzingatie vigezo vingi sio kimoja tu kama mafuta.

Gari yangu iko na hiyo kitu, kumbe ni mkasi?? We mayooo sinunui tena aisee!!
 
Post kama hizi sie watumiaji wa Baiskeli Avon Na Phoenix tukae mbali kabisa. Hapa nawaza medigadi yangu inarusha tope wacha kesho niifanyie service.

Mkuu hivi wapi ninaweza kupata tairi nzuri za baiskeli? Maana jana nimekamatwa na askari, tairi zimekuwa kipara mno
 
vp kuhusu izo electric motor kwny magari je inaweza kua istalled kwny magari ambayo mwanzo hayakua nazo?

huwezi. ila unaweza ku install fuel mbadala LPG ni bei rahisi kuliko petrol ya kawaida. UD nafikiri wana kitengo wanafanya hio conversion.
 
Nimepark gomalangu nasubiri hadi j pili, the rest days natumia boxa yangu. Hakiya nani na enjoy mbaka bas, sina habari na traffic crowd popote. Niki jaza kabixa full tank hadi nasahau it's more than three weeks. Tatizo mvua ikinyesha kama niko road inabidi nitafute hifadhi somewhere.
 
Ni kwamba halina wiper au kwenye roof wametengeneza mfano wa chandarua?
 
Bmw siku hizi spare zipo mpaka kawe uswahilini huko, mie ninayo BMW S3 huwa dar - dom mafuta ya 50,000 tena nafika taa ya wese haijawaka na njiani ni kibati chakutosha......jaribu kuweka mafuta ya 50,000 kwenye brevis alaf uwashe mufindi na speed uvuke 120 uone kama mikese utafika
 
Post kama hizi sie watumiaji wa Baiskeli Avon Na Phoenix tukae mbali kabisa. Hapa nawaza medigadi yangu inarusha tope wacha kesho niifanyie service.

!
!
mie bana usiku napata tabu glopu imeungua na jiko haliwashi vizuri kitaa cha nyuma. Hivi mkuu zile zenye kimpira cheusi kwa nyuma zinapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom