Hili gari BMW 7 limerogwa?

Hili gari BMW 7 limerogwa?

Inaweza kuwa inatumia mafuta kama Vits ila ikipeleka service unaacha 500,000/- au ukipasua taa 1.5m..si ushawahi kusikia BI-XENON head lamps?! Ukinunua gari inabidi uzingatie vigezo vingi sio kimoja tu kama mafuta.

Hahaha baelezee baelewe , Nissan zenyewe zinatutoa jasho sembuse bmw
 
Ndugu yangu ana gari aina ya BMW 7 series ambalo huwa analitumia kama chaguo lake la pili, chaguo lake la kwanza ni Mercedes Benz G Guard.

Juzi kati Noah yangu ilipata hitilafu hivyo nikawa naswampa na madaladala.

Ndugu yangu huyu kwa kunihurumia akasema niwe natumia BMW yake.

Aisee hii gari ina engine ya zaidi ya CC 2000 lakini ulaji wake wa mafuta ni mdogo kama wa Vitz yaani km 17 kwa litre.

Hili gari nimetokea kulipenda sana na sasa nadhani ni wakati muafaka kwa Watanzania kuachana na magari ya Kijapani yanayokula mafuta mengi bila sababu na kujiunga na magari ya Ulaya na India yasiyotumia mafuta mengi.

BMW wametengeneza engines ambazo zina consumption nzuri saana ya mafuta, unaweza kuta zina cc kubwa ila kama unatumia vizuri ie hauzidi 2500 rpm inatumia mafuta kidogo saana. Na kiboko ni diesel engine zao. Ziko very refined mpaka waliozi gundua (mercedez benz) wanawaonea wivu.

So BMWs are the best drivers cars, in terms of performance, handling na fuel efficiency, ila ukiongelea comfort na new features in a car, mercedes benz ni next level. Hasa Mercedes S Class. Hapo ndio makampuni mengine huwa yanajifunzia kujua what next can be done in a car. Ila upande wa fuel consumption mercedes sio nzuri saana.
 
Hata BMW wana comfotability ya kutosha. Yani german cars karibu ya zote zipo safi kwenye comfotability
 
Mkuu, hybrid huwa ina engine ya kawaida ya petrol, na electric motor kama engine ya pili! Ikiwa mwendo chini ya 60kph,may be a little more or less, inatumia electric motor completely haitumi petrol kabisa! Ila speed ikizidi hio 60kph inatumia petrol engine!

Kwahio kwenye foleni inatumia 0lts ya petrol na njia ikiwa nyeupe ndio inatumia petrol,kama ujuavyo gari ikiwa inatembea speed 80-120kph utumiaji wa mafuta ni mdogo Sana,hivyo overall ndio unapata hizo 30km per liter or more!

Kweli jamii forum ndio kila kitu sikujua kama Hybrid zipo hivi.. Vip hiyo Harrier haybrid ni bei gani?

Mghosi
 
Haina tofauti sana na ya kawaida ila ziko chache sana ukiingia mtandao wa beforward utaikuta ipo moja tu zikizidi sana tatu
 
BMW wametengeneza engines ambazo zina consumption nzuri saana ya mafuta, unaweza kuta zina cc kubwa ila kama unatumia vizuri ie hauzidi 2500 rpm inatumia mafuta kidogo saana. Na kiboko ni diesel engine zao. Ziko very refined mpaka waliozi gundua (mercedez benz) wanawaonea wivu.

So BMWs are the best drivers cars, in terms of performance, handling na fuel efficiency, ila ukiongelea comfort na new features in a car, mercedes benz ni next level. Hasa Mercedes S Class. Hapo ndio makampuni mengine huwa yanajifunzia kujua what next can be done in a car. Ila upande wa fuel consumption mercedes sio nzuri saana.

Umeongea kitu ambacho mtu anaejua magari tu anaweza kukijua! BMW are the best drivers cars! Hizi gari hata zile za zamani ukiendesha una-enjoy zaidi kuliko kupanda as abiria!
 
BMW wametengeneza engines ambazo zina consumption nzuri saana ya mafuta, unaweza kuta zina cc kubwa ila kama unatumia vizuri ie hauzidi 2500 rpm inatumia mafuta kidogo saana. Na kiboko ni diesel engine zao. Ziko very refined mpaka waliozi gundua (mercedez benz) wanawaonea wivu.

So BMWs are the best drivers cars, in terms of performance, handling na fuel efficiency, ila ukiongelea comfort na new features in a car, mercedes benz ni next level. Hasa Mercedes S Class. Hapo ndio makampuni mengine huwa yanajifunzia kujua what next can be done in a car. Ila upande wa fuel consumption mercedes sio nzuri saana.

Ni kweli mercedes wana mapumziko sana aisee. Unaendesha gari limetulia na ukipita pita na wheel alignment na balance kwa muda wa service ndio kabisaa.
 
Mkuu hapo sijajua tofauti, maana mimi huwa nadhani kila range ni diesel, labda ungeelezea kwa kurejea swali uliloniuliza ili nipate uelewa wa hizo mashine.

Range Rover 4.0/4.6/5.0 HSE ni petrol,hizi ukijitahidi sana 5km/litre
Range Rover ukiona imeandikwa DSE/TDI/TDV6/SDV6/SDV8 hizi ni za diesel hizi unawezs kwenda hata 13km/litre.
 
Ni kweli mercedes wana mapumziko sana aisee. Unaendesha gari limetulia na ukipita pita na wheel alignment na balance kwa muda wa service ndio kabisaa.

Wheel alignment na balancing ni kitu cha muhimu saana, sema wengi huwa tunafanya tu pindi tumeweka tairi mpya, lakini kwa barabara zetu zilizojaa mashimo kiukweli inabidi kufanya mara kwa mara as magarazi yanatoka kwenye alignment ndani ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom