Hili gari BMW 7 limerogwa?

Hili gari BMW 7 limerogwa?

Hayo magari ni mazuri sana, tatizo spares zake ghali na hakuna mafundi wengi Tanzania wayajuwayo, mafundi wengi wa magari hata spana za kufungulia hayo magari hawana (zinahitaji spana mahsusi), mpaka upeleke sehemu maalum na hapa kwetu ni chache sana na ghali sana.

Talking from experience.
 
Talking from BAD experience......nakuelewa sana wamiliki wengi wa hayo magari wanaumizwa sana kwa kukosa information. Mafundi wazuri wapo ila sio kwenye zile main dealerships, expensive for nothing.
 
Mkuu hivi ni kweli BMW na BENZI ukiendesha mwendo mdogo chini 100km zinakula sana mafuta ??
 
Mkuu fungua sehemu yako wenye magari yao watakuja kukuungisha. Taarifa hakuna ndo maana wengi wanapigwa
 
Mkuu hivi ni kweli BMW na BENZI ukiendesha mwendo mdogo chini 100km zinakula sana mafuta ??

Kwa uendeshaji wa kawaida sio kweli. Hizi gari zinakunywa Sana wese kwenye speed over 140kph.

Labda uwe learner unaendesha manual gear number 1/2 mguu kwenye bati !
 
Ukishaanza kufikiria mafuta kwenye kununua gari ujue wewe hustahili kuwa na gari,unajipendekeza tu tukuone na wewe una gari.kabla hujaanza kulalamika ni bora hiyo hela yako ukafuge kuku.
 
Hii ni comment ya hovyo kuliko zote kuhusu magari! Kwahio wanaostahili kununua gari huwa wanakwenda tu dukani na kununua bila kujua linatumia mafuta vipi au aina gani?! Basi watengenezaji wadingesumbuka na kupoteza hela nyingi kwenye tafiti kuhakikisha magari yanatumia mafuta kidogo kuliko ilivyo sasa! Hata wakina Warren Buffet wansangalia gari gani wanunue itakuwa sisi!
 
Mbaya zaidi anafikiria mafuta kwenye magari ya thamani kama hayo. Ajabu sana uwe na gari la thamani kubwa halafu ufikirie ulaji wa mafuta
 
Hii ni comment ya hovyo kuliko zote kuhusu magari! Kwahio wanaostahili kununua gari huwa wanakwenda tu dukani na kununua bila kujua linatumia mafuta vipi au aina gani?! Basi watengenezaji wadingesumbuka na kupoteza hela nyingi kwenye tafiti kuhakikisha magari yanatumia mafuta kidogo kuliko ilivyo sasa! Hata wakina Warren Buffet wansangalia gari gani wanunue itakuwa sisi!

Mkuu sasa unafkiri hayo magari yenye cc kubwa wanatengenezewa wakina nani??...cc kubwa inamaanisha kuwa engine ni kubwa na ina more power kuliko yenye cc ndogo,sasa kabla hujaanza kulalamika kuhusu gari linakula mafuta jiulize unataka Power,Uzuri wa gari,au unataka mafuta kidogo.kila gari linatengenezwa kwa watu maalum sasa wewe ukivamia ndio unaishia kulalamika tu. Nissan V8 ya 2013, ina 5.6-Litre V8 Petrol Engine na watu wananunua bila kulalamika.
 
Sasa hivi umeongea vizuri. Ila comment yako pale juu haiendani na ulichoandika hapa!
 
BMW 1series...haka kagari si mchezo, 1600cc tu ila kina mambo makubwa, nikitaka kununua gari za hitla ndio ntanunua hako
 
Back
Top Bottom