Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,370
- 139,209
Babu yangu alikuwa muislam ila alikuwa anafuga nguruwe akishirikiana na bwana mifugo. Sikiwahi kuelewa ile mpaka leo
Wanasema eti haramu ni pua yake tuuuBabu yangu alikuwa muislam ila alikuwa anafuga nguruwe akishirikiana na bwana mifugo. Sikiwahi kuelewa ile mpaka leo
Asili ya Unajisi: Nguruwe anachukuliwa kuwa ni mnyama najisi katika asili yake (Najas al-Ayn).Babu yangu alikuwa muislam ila alikuwa anafuga nguruwe akishirikiana na bwana mifugo. Sikiwahi kuelewa ile mpaka leo
Msuya Ulikuwa unafuga au unawauwa ?Nakumbuka utotoni nilikuwa nikiwachanganyia pili pili kwenye chakula. Wanatema, wengine hawali kabisa.
View attachment 3578667Hizi tarehe zishaanza kuruhusu nikale hilo dude
Nilifuga mzeeMsuya Ulikuwa unafuga au unawauwa ?
Hizo zambi sasa🙌🏿🏃🏿Ipo siku ntakuja nilishe jamii flani Mannguruwe alafu nitokomee kusikojulikana.
Nna shauku kweli kweli.
View attachment 3578670
Ndio basi tena!Duh! Sasa Itakuwaje😂