PreGE2025 Hilda Newton, Aachiwa Kwa Dhamana usiku huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).

Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.

View attachment 3315455View attachment 3315456
Pole zake, atleast yuko salama, hajatupwa huko kusikojulikana.
 
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).

Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.

View attachment 3315455View attachment 3315456
Ana bahati sana Hawajamuua kama walivyoelekezwa
 
Anaoneka kachoka sana
 
Afande Muliro si alisema hawako nae? Sasa wamemtoa wapi. Ndio maana maaskari wakistaafu wanaishi maisha ya kuzimu hapa duniani. Kubabeki.
Kuna rafiki yangu mmoja tulisoma wote skuli zamani akaishia kuwa polisi baada ya kuishia forma six na alipata DV 2.

Alikuwa ana uwezo darasani nikamshauri aachane na kazi ya upolisi asome juu zaidi. Bahati alipata mkopo akasoma hadi masters ya maana yaani ile hot cake.

Alipata kazi nzuri na alikuja kunishukuru personally.

Polisi khasa wale walokuwa wahuni mashuleni huko na wakafeli form 4 au 6 ndo makatili na wauaji na ndo wanotumiwa kudhuru raia waso na hatia.

Hiyo ni kwasababu wamekosa ile kufikiri kwa makini.
 
Hao panya tusisubiri wastaafu. Si famila zao wanaishi na sisi mtaani?Tuanze kuwatembezea borrow usiku
HAPANA.
Inashawishi sana kufanya hivyo, lakini hayo yatakuwa ni makosa kabisa. Kwani hao polisi wenyewe huwa siku zote hawapumziki na kuishi maisha ya uraiani? Ni bora kuwatafutawao wenyewe kuliko watu wengine ambao hawahusiki kabisa na uovu huo.
 
Afande Muliro si alisema hawako nae? Sasa wamemtoa wapi. Ndio maana maaskari wakistaafu wanaishi maisha ya kuzimu hapa duniani. Kubabeki.
Wauaji/mashetani wa demokrasia ni wapi Tanzania
1.
2. IGP
3.
Mulilo
4. Makalla
5. Wasira
6. Chalamila
 
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).

Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.

View attachment 3315455View attachment 3315456
Waliyesema kapigwa sana ndio huyu? Wafuasi wa Braza K mnajua kufyatua uzushi.
 
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).

Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.

View attachment 3315455View attachment 3315456
Kulikuwa na haja gani ya kumshikilia kote huko???
Free and Fair Election is the answer.
 
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).

Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.

View attachment 3315455View attachment 3315456
Natamani wangemuweka hata huyo Sa100 rahis wa kifo ambaye hajawahi kujipigia hata kura.
 
Jambo alilofanyiwa Hilda halipendezi na ni uonevu wa hali ya juu. Lakini yatumiwe pia kuwaonyesha Hilda na wenzake ambao wanatumia muda wao mwingi kuwashambulia wanachama wenzao mitandaoni kwa sababu tu wanadiriki kutofautiana nao kuhusu muelekeo wa chama chao. Hakuna sababu ya kupoteza muda kuwashambulia na wakati mwingine hata kuwachafua wanachama wenzao kama Mbowe, G55 na wale waliounga mkono kampeni ya Mbowe ya kugombea uenyekiti wa CDM. Kushangilia na kufurahia wanaposhambuliwa kwa maneno na vitendo hakupendezi na hakujengi chama chao.

Hii kesi na vitendo kama hivi ni "wake up call" ya umuhimu wa kuacha kuwaona wenzao kuwa maadui na kuunganisha nguvu zao zote dhidi ya mpinzani wao Mkuu. Tumeona watu waliokuwa Team Mbowe ( Boni Yai, Sugu n.k.) wanavyosimama kukitetea chama chao. Katika jopo la mawakili wa Lissu wamo wale walioshutumiwa kuwa walikuwa Team Mbowe na wasiaminiwe.

Natumaini yaliyompata hayata mvunja moyo bali yatamuongezea ari ya kupambana hadi malengo ya chama chake yanafikiwa.

Amandla...
 
Nilikuwa nawachukia vijana wanaovaa mabomu na kujilipua kuwa wamelaanika. Kwa haya ya jana, naanza kuona mambo yanayoweza kumpeleka mtu kuwa mnyama! tusifike huko polisi
Keyboard warriors huwa mnafurahisha
 
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).

Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

Jambo TV imezungumza na wakili Jebra Kambole ambaye ametueleza kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akitueleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.

View attachment 3315455View attachment 3315456
Kukichwa kutapambazuka
 
Back
Top Bottom