PreGE2025 Hilda Newton, Aachiwa Kwa Dhamana usiku huu

PreGE2025 Hilda Newton, Aachiwa Kwa Dhamana usiku huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yaani Hilda Newton anaacha kumnyonyesha mtoto nyumbani anaenda mabarabarani kumnyonyesha nani?

Huyo mumewe naye kichwani zimo kweli? Anashindwa kumdhibiti? Kwa manufaa ya mtoto?,Huyo mumewe naye boya huyo.pamoja na wazazi wake na wakwe zake wote maboya
 
Yaani Hilda Newton anaacha kumnyonyesha mtoto nyumbani anaenda mabarabarani kumnyonyesha nani?

Huyo mumewe naye kichwani zimo kweli? Anashindwa kumdhibiti? Kwa manufaa ya mtoto?,Huyo mumewe naye boya huyo.pamoja na wazazi wake na wakwe zake wote maboya
Hilda alienda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wa chama chake. Akiwa huko akawa anatoa taarifa ya yanayojiri Mahakamani. Hakuandamana. Hakumtukana wala kumpiga mtu. Hakuzuia Mahakama kuendelea na shughuli. Yeye na wenzake hawakupaswa kukamatwa bali wangeachiwa waende wanakotaka baada ya kesi bila kikwazo chochote. Hamna mtu ( pamoja na mume wake) ana haki ya kumzuia kufanya kile ambacho ni haki yake kama raia na mkazi wa nchi yetu.

Amandla...
 
Nijuavyo mama mwenye mtoto utakiwa kujiepusha na mikusanyiko hatalishi kama ile seem umeenda umekuta Mapolisi wengi naww unajichanganya umo !!!

sio haki kwa Mtoto wako sasa tujiulize uyo mtoto siku mbili izi Mtoto kaishije kukosa Maziwa ya Mama !!

tunafaam Watoto wengine awataki Maziwa ya kopo !!!

labda njaaa ndio ikafanye ayanywe ivyoivyo sio haki!!!

Bint kakosea sana anapaswa kujiepusha na mikusanyiko !!!

kwafaida ya mtoto wake na Taifa pengine ndio Rais wetu wa baadae tunapaswa kuwaeshim watoto wetu..!!!

kama unamtoto mchanga weka mbali alakati kwamuda.. !!!

Mfano polisi 1 tu angekufa ktk alakati zile ingekuwaje kwa uyu Dada yetu adi ije ijulikane nani muusika Leo iyo,,,
 
Afande Muliro si alisema hawako nae? Sasa wamemtoa wapi. Ndio maana maaskari wakistaafu wanaishi maisha ya kuzimu hapa duniani. Kubabeki.
Muliro kama Ana akili atajirudi baada ya kumuona boss wake wa zamani Mahitaji alivyochakaa baada ya kustaafu! Walikutana kwenye mazishi ya afande CHICO!
 
Back
Top Bottom