Huyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa Mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (Oman) ni tajiri toka enzi za Mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa Tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga. sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.
Wafadhili wote wa CCM ni akwepa kodi wazuri sana na cha juu ndio wanaipa kampani CCM, anaebisha abishe tu, ukileta za kuleta nawataja baadhi yao na hutaamini but bnaweza kuklueleza hata namna wanavyokwepa kodi hizo, Mzee sabodo yeye anaifadhalili CDM kwasababu analipa Kodi zote, biashara zake nyingi ni halali
Kuna uzi uko posted unaongelea matajiri wa mkoa wa mara.Naona huu ni mwezi wa watu kushindanisha Mabilionea wa Kitanzania, walianza wa Arusha, wakaja wa Dar es Salaam, jana nikawaona wa Tanga na hatimaye sasa namuona huyu wa Shinyanga.
Swali nawauliza, how much have they given back to the society?
Huyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa Mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (Oman) ni tajiri toka enzi za Mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa Tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga. sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.
Kuna uzi uko posted unaongelea matajiri wa mkoa wa mara.
kweli tunatofautiana sana hii medulla oblongatahuyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (oman) ni tajiri toka enzi za mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa shinyanga. Sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.
Huyu jamaa hela anayo,ana mali kadhaa Kahama na Shinyanga,anamiliki vituo kadhaa vya mafuta kanda ya ziwa na ndiye mmiliki wa ile shule aliifungua raisi na kuisifia kuwa mfano wa kuigwa kwa kukuza elimu ya mkoa wa Shinyanga,shule yake inaitwa Savanah Plain,ni english medium toka chekechea,nadhani ni the most expensive kwa Tanzania na vilevile the best one in Tanzania,ada yake in millioni 8 kwa mwaka kwa chekechea na 11 kwa primary,waalimu asilimia 80 ni wazungu na wanafunzi hivyohivyo,wanafunzi toka mkoa wa Shinyanga katika shule hiyo hawazidi 5.
kweli tunatofautiana sana hii medulla oblongata