wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,865
Then ikawaje mtoto wa huyo Phantom akapewa ubalozi wa Oman hapa Tanzania?Phantom alikuwa akifanya kazi katika jeshi la oman,katika miaka ya 1970 au 1980 sina hakika jamaa alikuwa na cheo kikubwajeshini na alikuwa kitengo chamishahara,wakati huo mishahara yakugawa madirishani,inasemekana jamaa alilamba mishahara ya wanajeshi nchi nzima akaingia mitini mpaka leo jamaa wanted hatii mguu oman,huyo ndio hilal phantom