Hilal Phantom,, Bilionea la Shinyanga na Tz

Naona huu ni mwezi wa watu kushindanisha Mabilionea wa Kitanzania, walianza wa Arusha, wakaja wa Dar es Salaam, jana nikawaona wa Tanga na hatimaye sasa namuona huyu wa Shinyanga.
Swali nawauliza, how much have they given back to the society?
hiv mbezi kwa yusuph hakuna mabilionaire na si tuwaweke humuuuuu! ah mi nishachoka!
 
Huyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa Mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (Oman) ni tajiri toka enzi za Mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa Tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga. sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.

Kwa hiyo? Sijaelewa point yako, au kuna uchaguzi wa kugombea ubunge?
 
GATI naye vip kwa shinyanga na salum mbuzi naye????
 
Hahah...mtani tujitahidi na sisi tutengeneze vijisenti tusumbue mjini hapa....

NTAKUWEKAJEE SASA !na picha zako juu!]yani full kutembeza bango kila nikipita! chezeya kuwa mtani wa bilionaire wewe!:A S clock::first::A S clock:😛ray2:
 
mkimaliza kupost mabilionea wa kla mkoa mpige na mahesabu mkoa gan una mabilionea weng

Haahaahaaa🙂 Wakimaliza hiyo mpangilio wa kimikoa pia itafaa watujuze hawa BILIONEA/MILIONEA wanasaidiaje kusaidia maskini waliwazunguka kundkana na umaskini unaowakabiri!
 
NTAKUWEKAJEE SASA !na picha zako juu!]yani full kutembeza bango kila nikipita! chezeya kuwa mtani wa bilionaire wewe!:A S clock::first::A S clock:😛ray2:

Snowhite
mtani,ngoja na mimi niwe Billionea nihamie Songea nikaishi na watani zangu,na hivi Uranium karibu itaanza kuchimbwa nitafanya biashara tu kule
 
Mkuu unalosema ni kweli hata mimi nina ushahidi lakini sio wote kabisa,wapo ambao kiukweli ni waungwana wanafanya kazi zao kwa utiifu na ni nina majina yao sema tu wamezoea kutafuta umaarufu akisikia kwamba amechangia labda mkutno mkuu wa CCM Dodoma kwa shilingi milioni 400 ndio furaha yake hiyo lakini sio kwamba wote ni wachafu kiihivyo ila asilimia 85 ni wachafu.

Na miongoni mwao ni huyu Hilal Phantom,ana matatizo mengi sana,na matatizo yake naweza hata kuyataja humu kama kuna mtu anabisha,ni problem sana huyu jamaa na hasa maeneo ya Maganzo.tuliwahi kwenda huko na timu kutoka ofisi fulani kubwa kuliko zote hapa nchini,tukafanya uakaguzi wa baadhi ya mambo tulibaini uchafu mkubwa lakini pia yuko karibu sana na mkubwa mmoja hapa nchini,kwa hiyo wakati mwingine JF inasaidia sana tunapata mahali pa kusemea.
Mkuu tuwekee tu hayo madudu ya jamaa,taarifa ni muhimu zitatusaidia pia.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Snowhite
mtani,ngoja na mimi niwe Billionea nihamie Songea nikaishi na watani zangu,na hivi Uranium karibu itaanza kuchimbwa nitafanya biashara tu kule

ahaahhahah aaahahhahahaha utakuja kuuuza uranium au utahamiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
NAULIA TU!
 
by the way.. his mine site is no-more producing.. hiyo shule is not his anymore.. it was a loan from NSSF & CRDB..
 
so the two institution had taken it over, amid the failure to cover the debt at agreed time.. soon will be "the college"
 
kabaki na some-few-old petrol stations.. and few buildings which doesnt entitle him a bilionea, rather a lakionea..
 
Huyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa Mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (Oman) ni tajiri toka enzi za Mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa Tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga. sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.
Duuhhhh....
 
Mfadhili yoyote wa ccm ni fisadi papa
 
Msukuma mwenye asili ya Oman?give me a break nigger !that's is an Arab,
Huwezi kusema Obama ni mjaruo.
 
Huyo ni mwarabu kutoka oman

Sasa anaongea kuswahili chenye lafudhi ya kisikuma

Ni fisadi la kutisha hilo jitu
Msukuma mwenye asili ya Oman?give me a break nigger !that's is an Arab,
Huwezi kusema Obama ni mjaruo.
 
Huyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa Mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (Oman) ni tajiri toka enzi za Mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa Tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga. sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.
Huyu mtu namfahamu tangu nikiwa mtoto mdogo wa miaka 10, mara ya kwanza kumsikia na kuona mambo yake ilikuwa ni mwaka 1980! Miaka hiyo ya 80 mwanzoni alikuwa mmojawapo wa matajiri waliokuwa wanamiliki mabasi mazuri sana pale Shinyanga mjini.
Amedumu sana kwenye business!
 
Back
Top Bottom