Hilal Phantom,, Bilionea la Shinyanga na Tz

Hilal Phantom,, Bilionea la Shinyanga na Tz

Phantom alikuwa akifanya kazi katika jeshi la oman,katika miaka ya 1970 au 1980 sina hakika jamaa alikuwa na cheo kikubwajeshini na alikuwa kitengo chamishahara,wakati huo mishahara yakugawa madirishani,inasemekana jamaa alilamba mishahara ya wanajeshi nchi nzima akaingia mitini mpaka leo jamaa wanted hatii mguu oman,huyo ndio hilal phantom
 
mkimaliza kupost mabilionea wa kla mkoa mpige na mahesabu mkoa gan una mabilionea weng
 
Huyu jamaa hela anayo,ana mali kadhaa Kahama na Shinyanga,anamiliki vituo kadhaa vya mafuta kanda ya ziwa na ndiye mmiliki wa ile shule aliifungua raisi na kuisifia kuwa mfano wa kuigwa kwa kukuza elimu ya mkoa wa Shinyanga,shule yake inaitwa Savanah Plain,ni english medium toka chekechea,nadhani ni the most expensive kwa Tanzania na vilevile the best one in Tanzania,ada yake in millioni 8 kwa mwaka kwa chekechea na 11 kwa primary,waalimu asilimia 80 ni wazungu na wanafunzi hivyohivyo,wanafunzi toka mkoa wa Shinyanga katika shule hiyo hawazidi 5.
dah,very expensive,huwa naipiti hii shule haiko mbali na barabara ya mwanza-shy.kwahiyo wanasoma watoto wa kutoka wapi hapo?
 
huyo si ni bariadi aka simiyu,ila alishafulia kama miaka kumi iliyopita,huko ongelea kina Njalu,Gungu,midimu,chenge etc.

kumbe kuna Simiyu kweli,nilisahau.ila Edward na Paulo ghwani mambo ya magari yameandikwa Rehema ya MUNGU.Kumbe walishafulia
 
So soon nitawaletea Matrilionea wa Mtwara...tumeshavuka stage ya mabilionea
 
Anamzidi mohamed trans wa maganzo?
Anamzidi nchambis?

Kaka hyo MTL wa maganzo au kwa jina lake 'Issa' anamliki hisa tu ktk hyo kampuni kwn ina watu wengne ktoka China na nch zngne za kiarabu! Hisa zngne ni za mzee Mohamed na mwanae Soud(mkurugenz),mzee Mohamed ni ba'mke kwa Issa,hcho ndo nakfaham kuhusu MTL,coz nmefanyakaz pale 4 three yrs,Suleiman Nchambi hana hela ya ktsha xana lkn nae ymo kwny chain,wengn ni Jambo group,Fresho na Gaki investment
 
Hao akina jambo,fresho,gaki si ndo wanamiliki maginery?pale pesa lazima iwepo bana,bila kusahau bigboss wa kahama..Ndegesela ginnery,wanazo za kutosha tu.
 
Hao akina jambo,fresho,gaki si ndo wanamiliki maginery?pale pesa lazima iwepo bana,bila kusahau bigboss wa kahama..Ndegesela ginnery,wanazo za kutosha tu.

Hela wanayo aise,wana cotton ginneries na vwanda vngne kama plastics,soda na wanasupply cement,sukar pamoja na ununuz wa choroko,mbaazi na dengu at large scale! Lkn hakna wa2 wakatil kama hawa,pale jambo bwana mfanyakaz akikosea hupewa adhabu mbl,either atandkwe vboko sita akiwa amelala chn au afunguliwe get kubwa la gari na kuondoka! Matusi ya viungo vya bnadam hasahasa wa kike pale ndo headquarters! Ndegesela ni bepari aise,si mchezo!
 
Huyu jamaa hela anayo,ana mali kadhaa Kahama na Shinyanga,anamiliki vituo kadhaa vya mafuta kanda ya ziwa na ndiye mmiliki wa ile shule aliifungua raisi na kuisifia kuwa mfano wa kuigwa kwa kukuza elimu ya mkoa wa Shinyanga,shule yake inaitwa Savanah Plain,ni english medium toka chekechea,nadhani ni the most expensive kwa Tanzania na vilevile the best one in Tanzania,ada yake in millioni 8 kwa mwaka kwa chekechea na 11 kwa primary,waalimu asilimia 80 ni wazungu na wanafunzi hivyohivyo,wanafunzi toka mkoa wa Shinyanga katika shule hiyo hawazidi 5.

hao waliotoka shy watakuwa ni wapish /wanafundisha sindimba hahaha
 
Hivi kwa nini mikoa "mingine" matajiri ni Waarabu na Wahindi tu? Hamna Watanganyika waasili?
 
Hivi kwa nini mikoa "mingine" matajiri ni Waarabu na Wahindi tu? Hamna Watanganyika waasili?

Wewee unajifanya kama hujui tabia zetu watu weusi? Mtu akipata vipesa kidogo ataanza kulamba wake za watu mtaa mzima atakesha bar,atafanya mambo ya ajabu hachukui miaka chali,ni wachache sana waliovuka hilo
 
hahaha watu kwa kudanganyana bana... kweli usilolijua usiku wa giza.. nway, in-short Naishi shy.. ntawaletea facts soon.
 
Back
Top Bottom