Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari?, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari

Nasikia hii ndio iliyorekodi sauti ya NAPE NAUYE na wenzake

Ikiwa karibu yako hata kunong'ona usijaribu...labda iwe umbali wa Mita 100 au zaidi.
 
Kha! jamani. kisa nimemsifia Pascal? Sema tu hata wewe kimoyo moyo unamkubali huyu mkuu, yuko vizuri kichwani. Pia hata ukifuatilia thread zake, nyingi ziko njema halafu anayoongelea hasa ya kisiasa anakuwa kama vile ame predict
Nakubaliana nawewe.

Pia hakasiriki hovyo, hana bifu za kishamba.
 
Mbona majibu mengi...! Lipi sahihi
 
The Tanzania Communications Regulatory Authority, established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania.
 
Hii ni definition ya wikipedia ina kasoro definition sahihi ya TCRA ni hii ifuatavyo zingatia neno 'quasi'.....

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a quasi independent Government body responsible for regulating the Communications and Broadcasting sectors in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Act No.12 of 2003 to regulate the electronic communications, and Postal services, and management of the national frequency spectrum in the United Republic of Tanzania.
The Tanzania Communications Regulatory Authority, established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania.
 
Gari sikuizi zinatengenezewa kofia
 
wakati,jf inaanza anza miaka ya mwanzoni, humu walijaa intellectuals, watu wenye upeo wanaojitambua, hivyo swali lolote lililokushinda majibu ulikua na uhakika wa kupata msaada jf. Ila tangu hiki kizazi cha 90 na 2000 kianze kushika smartphone, ni upupu tu unaochangiwa humu.

Inabidi mamods wawepo pia na wa comments, kama haihusiani na mada ama ni upupu wanatoa.

Inasikitisha sana

Binafsi sifahamu nilitegemea kupata majibu kwenyr comments, mwisho nakutana na upuuzi mara mabaharia mara sijui nini!inakera yani
 
Umeeleza kitu sensitive broo
 
Hiko kifaa kinaitwa enzymes kazi yake ni kuspeed up chemical reaction.😎
 
Hizo gari zenye huo mtambo zinatumiwa na watu wa TCRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…