hiki ni kisa cha kweli 2011 kilitokea

mkulasabo

Member
Dec 21, 2011
21
2
kuna rafiki yangu ameniomba ushauri juu ya hiki kisa cha ukweli : yeye umeowa miaka mitano iliyopita na wamejariwa kupata mtoto mmoja mwaka jana alienda kikazi manyara kama mwaka mmoja hivi kwa kipindi chote hicho akawa mbali na wife katika hali asiyoitarajia baada ya kuridi mwezi wa kumi na moja alianza kuona nyendo za mkewe siyo nzuri mpaka siku moja akapata ushaidi siyo wakuona moja kwa moja ila wakimazingira na baada ya kumuhoji mkewe alikili kosa kuwa ndiyo anauhusiano na bossi wake tena bila haya usoni jambo lile lilimuuma sana rafiki yangu anachoomba ni je amuache au afanye nini maana bossi ndiyo wako wote kazini mimi mpaka time hii sijapata chakumshauri na wasilisha kwenu tumsaidie
 
Kama ya kutunga vileeeeee,ila kama ni kweli mwambie tu jamaa aseme na moyo wake maana yeye ndo anajua kwa kiasi gani anampenda mkewe.
 
mwaka mzima mume na mke hamtembeleani na wote mpo tz?

Mke yupo tayari kuachana na bosi? Kama yupo tayari afanye hvyo na mke atafte kazi sehemu nyingine.
 
Ngumu kumeza,ngumu kutema. Inabidi kuchukua maamuzi magumu kwa wote wawili.Je wanapendana bado? Maana unaweza kusema waendelee kumbe wyf ndo vile,ameshabwaga moyo.Pia busura itumike,tafadhali.
 
Kuna hitajika hekima ya hali ya juu.kazi au mke....
Mwambie hayo yalisha tokea yeye sio wa kwanza
kuna huyu.waliacha kazi na mke na mambo yao yako freash
kuna huyu.walimtafuta mke wa bosi wakaduuu nae tena kwa picha
kuna huyu.alimfata bosi kwenye kilevi yaliotokea bosi aliomba msamaha uku kunde yake watu walishaitafuna
kama yeye kidume kama wenzie achague kati hayo la avumilie,amsamehe mkewe afa na tai shingoni uku (v v u)ikipiga hoidi
 
wacha aendelee tuu kuwa nae maana ana mtoto sasa huko manyara yeye ajichukulie wake ajissevie mwenyeeee kwa raha
 
tuambie huyo mwanamke anafanya kazi wapi Serikalini au katika NGO, tujuze tukushauri
 
Kama ni Serikalini namshauri amuhamishe hapo alipo kwenda ofisi nyingine, kama ni NGO ambadilishie ajira halafu ampime, lakini je huyo mwnamke amefunga naye ndoa ya kanisani au ya kimila au wanaishi bila kufunga ndoa, tujuze tukushauri
 
katika hali ya kawaidaswala la ndoa au mapenzi hua halihitaji ushauri kwani tunaweza kumwambia amuache mwisho wasiku sisi tutaonekana wabaya kuliko hata huyo bosi anayekula nae sahani moja.
 
Huko ofisi nyingine mabosi wanaume hawatakuwepo? Ama ngoma ile ile unahamisha tu kiwanja?
Kama ni Serikalini namshauri amuhamishe hapo alipo kwenda ofisi nyingine, kama ni NGO ambadilishie ajira halafu ampime, lakini je huyo mwnamke amefunga naye ndoa ya kanisani au ya kimila au wanaishi bila kufunga ndoa, tujuze tukushauri
 
Mwambie amsamehe kama bado anampenda, manake ndio jibu analotaka kusikia,yani mtu mzima unaulizaje wakati ushahidi unao? amua kusuka au kunyoa...
 
shit ndo maana nafikiria mara mbili mbili kuhusu kuoa...atafute kimada......mwanaafa alisema haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya kiume
 
kuna rafiki yangu ameniomba ushauri juu ya hiki kisa cha ukweli : yeye umeowa miaka mitano iliyopita na wamejariwa kupata mtoto mmoja mwaka jana alienda kikazi manyara kama mwaka mmoja hivi kwa kipindi chote hicho akawa mbali na wife katika hali asiyoitarajia baada ya kuridi mwezi wa kumi na moja alianza kuona nyendo za mkewe siyo nzuri mpaka siku moja akapata ushaidi siyo wakuona moja kwa moja ila wakimazingira na baada ya kumuhoji mkewe alikili kosa kuwa ndiyo anauhusiano na bossi wake tena bila haya usoni jambo lile lilimuuma sana rafiki yangu anachoomba ni je amuache au afanye nini maana bossi ndiyo wako wote kazini mimi mpaka time hii sijapata chakumshauri na wasilisha kwenu tumsaidie

Ukishaoa, it means umeukubali msalaba, na umekubali kuubeba mpaka goligoti. Hayo mengine ni yatokanayo tu huko njiani unakopita kuelekea goligoti. Mwambie jamaa aendelee na msalaba wake bana, aache utoto! Kwanza mashine ikizibuliwa nje, ukija kuitafuna inakuwa tamu zaidi bana!
 
mke anafanya kazi serekalini na bwana anafanya kazi kapuni binafisi juu ya kuhama inabidi labda mwanaume aombe uhamisho kisha mwanamke amfaate mumewe nimesoma zote posti za wachangiaji kuna mmoja amesema ya kutunga siyo hii niukweli na juu ya kuomba ushauri ni baada ya yeye kukosa uamuzi ndoa niakanisani na yule bossi bado anaendelea na mawasiliano maana wako kitengo kimoja na mkewe kwa mana nyingine mawasiliano lazima ya wepo tu
 
wakati mimi huyu rafiki yangu ananielezea hili tukio alisema kuwa hata heshima imepungua na swala la uyumba anapewa mke akipenda na wala siyeye akipenda wakati wote mke anadai yeye amechoka na kazi kiukweli mimi sijaowa ndiyo maana nilipata taabu sana juu nimshauri nini na mkewe namfahamu vizuri sana nimelileta hapa tujaribu kubadilishana kisha nitaenda kuongea naye nimpe mwongozo wa kufanya kanisani amelifikisha tayari ila mke bado anaendelea na kiburi
 
mwambie aamue mwenyewe,
hata wanaomshauri humu wengi wao
wanamegewa kama si kumegwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom