hiki ni kisa cha kweli 2011 kilitokea

wakati mimi huyu rafiki yangu ananielezea hili tukio alisema kuwa hata heshima imepungua na swala la uyumba anapewa mke akipenda na wala siyeye akipenda wakati wote mke anadai yeye amechoka na kazi kiukweli mimi sijaowa ndiyo maana nilipata taabu sana juu nimshauri nini na mkewe namfahamu vizuri sana nimelileta hapa tujaribu kubadilishana kisha nitaenda kuongea naye nimpe mwongozo wa kufanya kanisani amelifikisha tayari ila mke bado anaendelea na kiburi

jaman sasa hapo kuna la kumshaur tena....unyumba wa mashaka,kiburi kinaendelea. Asubiri kulea mtoto wa bosi wake tu hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom