Hiki ni kipawa

Maajabu ya Mungu,ukisoma wildlife,Nyani na Swala kuna muda huwa wanatembea pamoja kwa ajili ya usalama wao dhidi ya simba na wanyama mbwai wengine,na kuna mlio maalumu huwa wanautoa kama mawasiliano kati ya hao maswahiba wawili
 
Duu naanza kunogewa na hii Simalizi na sijapata mwelekeo bado Mwishoni itakuwaje... Well nasubiri
 
Mshana,,,,tuseme innaa lillah wainnaa ilayhi rrajiun.pia ww unayo bado nafas yaupendeleo yakumuombea dua kwan mtume anasema namtoto mwema anaewaombea wazaz wake.pia kuna kisa kimoja takiandika hapa chin.saiv



Asantesana kwa simulizi yenye mafunzo.. Nimeifanyia compilation
 
Mhh tungefafanuliwa na wataalam kwanin huyu mnyama anapendwa pia kwann wanyama wakali hawamli ama ana sumu hivo akiliwa tu huleta maafa, pia kwann apendwe je anatabia gani zinazomfanya apendwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…