Hiki ndicho cheti changu cha form four

Vipi maisha yako kwa sasa
 
Mkuu post na cha form six
 
Mleta mada akili za darasani zipo ila za maisha sasa, tuseme umetoboa maisha afu saa mbili asubuhi unaamka kuonyesha vyetu vyako, possibly hapo ulienda kutoa copy ukaombe kazi
 
umenena Mkuu,ila umeharibu mwisho

Huenda mwenye cheti humjui...huenda

ila kusema
una uhakika kuwa hawezi kufikia maisha yako labda kwa miaka hiyo tajwa,hili ni la hatari sana na lafaa kupigwa vita

Umejua ya jana na leo tu,sidhani kama kesho unajua

Kuwa makini na utabiri wako mbovu
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
 
Ndugu acha uhuni.Cheti hakipo hivyo.1,pili hakuna cheti chenye alama na masomo tu bila jina la mwenyenacho,mtoaji na hata msimamizi wa jambo lililopelekea kitolewe.Wewe na jiwe,bashite,na wajinga wengine weeengi mnatusumbua.
 
Kwa mara ya kwanza namuona mjita mjinga. Wajita sio wajinga hivi. Kama hilo jina sio lako hebu wacha kuwadhalilisha Wajita
 
Asee umeshindwa nini kupata 1.7 ?
 
Bukoba moja full maujiko
 
Kwa hiyo watu wasisome sio?
 
Haya bana naona masomo yalikukubali

Sasa mbona history hukupata A. Yaani unashindwa kujua vita vya maji maji viliisha saa ngapi
 
Maisha ya kitaa hayana syllabus mkuu!
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…