Hiki ndicho cheti changu cha form four

Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
Vipi maisha yako kwa sasa
 
Mkuu post na cha form six
 
Mleta mada akili za darasani zipo ila za maisha sasa, tuseme umetoboa maisha afu saa mbili asubuhi unaamka kuonyesha vyetu vyako, possibly hapo ulienda kutoa copy ukaombe kazi
 
umenena Mkuu,ila umeharibu mwisho

Huenda mwenye cheti humjui...huenda

ila kusema
una uhakika kuwa hawezi kufikia maisha yako labda kwa miaka hiyo tajwa,hili ni la hatari sana na lafaa kupigwa vita

Umejua ya jana na leo tu,sidhani kama kesho unajua

Kuwa makini na utabiri wako mbovu
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
 
Ndugu acha uhuni.Cheti hakipo hivyo.1,pili hakuna cheti chenye alama na masomo tu bila jina la mwenyenacho,mtoaji na hata msimamizi wa jambo lililopelekea kitolewe.Wewe na jiwe,bashite,na wajinga wengine weeengi mnatusumbua.
 
Kwa mara ya kwanza namuona mjita mjinga. Wajita sio wajinga hivi. Kama hilo jina sio lako hebu wacha kuwadhalilisha Wajita
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685

Asee umeshindwa nini kupata 1.7 ?
 
Bukoba moja full maujiko
 
karibu sana upate mshiko hayo maherufi sijui AA au BB Siku hizi hayana maana tena mtaani kama mtu mwenye masters ana miaka 42 na hana hata nyumba ya shilingi milioni kumi, na dogo janja amabae hata ajamaliza form 4 amemjengea mama yake nyumba ya kuishi au fananisha maisha ya diamond platinums na any prof unae mjua wewe utapata jibu.
Kwa hiyo watu wasisome sio?
 
Haya bana naona masomo yalikukubali

Sasa mbona history hukupata A. Yaani unashindwa kujua vita vya maji maji viliisha saa ngapi
 
Maisha ya kitaa hayana syllabus mkuu!
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
 
Similar Discussions

42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom