Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,012
- 54,174
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sio ajabu anaokota chupa za maji kitaani, maisha ya makaratasi ni tofauti kabisa na maisha ya uhalisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sio ajabu anaokota chupa za maji kitaani, maisha ya makaratasi ni tofauti kabisa na maisha ya uhalisia
Vipi maisha yako kwa sasaMungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.
Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.
Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.
Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.
View attachment 958685
Mkuu post na cha form sixMungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.
Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.
Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.
Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.
View attachment 958685
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
Kwa mara ya kwanza namuona mjita mjinga. Wajita sio wajinga hivi. Kama hilo jina sio lako hebu wacha kuwadhalilisha WajitaNdugu acha uhuni.Cheti hakipo hivyo.1,pili hakuna cheti chenye alama na masomo tu bila jina la mwenyenacho,mtoaji na hata msimamizi wa jambo lililopelekea kitolewe.Wewe na jiwe,bashite,na wajinga wengine weeengi mnatusumbua.
Wewe ukiwa Donald ni mzungu? Na ujinga wangu ni upi unaozidi wakwako?Kwa mara ya kwanza namuona mjita mjinga. Wajita sio wajinga hivi. Kama hilo jina sio lako hebu wacha kuwadhalilisha Wajita
Ujinga ni kuhangaika na mjinga wakati wewe ni mjinga.Kwa mara ya kwanza namuona mjita mjinga. Wajita sio wajinga hivi. Kama hilo jina sio lako hebu wacha kuwadhalilisha Wajita
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.
Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.
Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.
Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.
View attachment 958685
Bukoba moja full maujikoMungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.
Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.
Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.
Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.
View attachment 958685
anaweza kiwa muosha magari anayetembea na cheti kizuriUlijitahidi mkuu !!! Vipi maisha nayo umepiga A & B ?!
Kwa hiyo watu wasisome sio?karibu sana upate mshiko hayo maherufi sijui AA au BB Siku hizi hayana maana tena mtaani kama mtu mwenye masters ana miaka 42 na hana hata nyumba ya shilingi milioni kumi, na dogo janja amabae hata ajamaliza form 4 amemjengea mama yake nyumba ya kuishi au fananisha maisha ya diamond platinums na any prof unae mjua wewe utapata jibu.
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
wale bata tuu mbona msukuma hajasoma ila anakula bata?Kwa hiyo watu wasisome sio?