Hiki ndicho cheti changu cha form four

Ulikuwa vizur Sana lkn je ulisoma shule gan?
 
Hivi kwa nini wale wasiojiweza sana darasani hufanikiwa ki maisha zaidi ya ma genius ?!.
Hii ni generalization mie Huwa nashindwa kuielewa.Tanzania tupo milioni kama hamsini hivi.Hii generalization ingekuwa na uhalisia Basi watanzania wengi wangekuwa na maisha mazuri.Maana majority ya watanzania akili zetu za kuunga unga.
 
Watu wenye mtazamo huo wanafikra potofu. Hata MO dewji amekuza mara dufu biashara ya baba yake baada ya kutoka shule
 
Uzoefu upo mwingi tu hawa matajiri wengi wakubwa si wasomi .
Hebu fanya research utaniambia.
Hii ni generalization mie Huwa nashindwa kuielewa.Tanzania tupo milioni kama hamsini hivi.Hii generalization ingekuwa na uhalisia Basi watanzania wengi wangekuwa na maisha mazuri.Maana majority ya watanzania akili zetu za kuunga unga.
 
dogo waulize walioenda shule za vipaji maalum wako wapi...
 
Ukiwa na cheti kizuri sio mbaya, na ukiwa na cheti kizuri cha maisha pia sio mbaya. Ukiwa navyo vyote pia si mbaya. Lakini kama unamwaga vyeti hadharani kwa ajili ya tambo, halafu maisha yamekuchapa, utakuwa unajifariji kupitia vyeti. Maana hata wasio na vyeti hujivunia cash!
 
Mkuu vyeti sio ishu! Mimi nina 1 ya 11 o level! Ila maisha bado niko C!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…