Hiki ndicho cheti changu cha form four

mie nilipata Fa Fa Fa zote lakini nikiamua kukutimua mjini naweza... kama unabisha jifanye unajikuna uone au uuliza wenzio walipo sasa... na kimaisha nipo A plus.... wananitumikia wenye A na B tena kwa unyenyekevu
Nafikiri unajua kwanini hao wenye A wanakutumikia
 
Mkuu hicho cheti ni Cha Baraza Lipi la Mitihani? na ni cheti cha Mwaka Gani?
 
Erick wa kwetu kalemela umeshawahi kufanya tathmini , matajiri wengi wakubwa siyo wasomi amini usiamini

Nakusubiri ufanye utafiti
William Henry-Bill Gates!-Microsoft
Mark Zuckerberg-Facebook
Jeff Bezos-Amazon
Jack Ma-Alibaba
Ratan Tata-Tata Motors
Steve Jobs-Apple

Uniambie hapo nani sio Msomi..
 
Vilaza hao wanamuonea wivu msomi! Wanajitapa magari tu lakini hawafahamu ni kitu gani kinafanya nishati ya petroli ilisukume gari mbele. ELIMU! ELIMU! ELIMU!
Kijana unashindwa Kuspot hata Cheti OG kipoje? sio cheti cha Necta icho..
 
William Henry-Bill Gates!-Microsoft
Mark Zuckerberg-Facebook
Jeff Bezos-Amazon
Jack Ma-Alibaba
Ratan Tata-Tata Motors
Steve Jobs-Apple

Uniambie hapo nani sio Msomi..
Hao watu hawakusoma?
 
Kama ulisoma kayumba pongezi za dhati zikufikie mkuu!

Ila kama ni itaneshino skuli hzo pongezi chukua 20% zinazobaki mpelekee baba yako.
 
Kwanini hujapata A's zote km sisi?

Hayo ya form 4,form 6 yako wapi?

Na ya chuo yako wapi?

Lete tulete mlingamisho.
 
Ningekuona kuwa na akili kama ungeweka salio ulilonalo benki sio upumbavu huo.
 
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
Wiki iliyopita niliingia bureau de change fulani pale Kariakoo nikawakuta vijana wawili wasukuma (wako very simple, umri < 40yrs), wanaongea kisukuma.
Nilichoona nilibaki natikisa kichwa.
Walikuja na pesa yetu ya madafu kisha wakaondoka na dolari 201,000
Natamani B zangu za darasani ningezigeuza kuwa dolari!
 
Wadau wanakandia shule lakini wanapeleka watoto wao shule tena za bei mbaya!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…