Hiki kizazi cha pambuchi, mbunye

Hiki kizazi cha pambuchi, mbunye

hata wasomaji wamekuwa wengi kwa sababu thread imeongelea........
 
Jamani wazima?

Huwa mimi huwa nasikitika sana. Leo hii, nyimbo nyingi za Bongo flavor ukizisikiliza na kuzichambua utakuta mwishoni zinaelekea mmoja au mwingine "kulilia mbunye".

Mitaani utakuta maongezi mengi ya vijana ni mbunye tu! Mimi hapa ninaeandika ni naandika mbunye tu! Na wewe msomaji mwana JF umekimbilia hapa ili usome mbunye tu! Huko Sinza naskia watu wakienda lunch lazima wastue mbunye kabla ya kurudi ofsin!

Haijalishi mke au mme wa mtu kila mmoja anafikiria na kuongelea mbunye tu siyo ile ya mwenza! Jamani hiki kizazi gani?



Sasa unalalamika nini. Bongo fleva si nyimbo za kusikiliza kwa sababu usikilizapo hayo madudu lazima ukutane nayo. Ukitaka bongo fleva zilizokwenda shule ni zile walizokopi maneno kama Karubandika na kuiita Yahaya.
 
1383605810509.jpg
 
ahaa ahaaa ahaaa ahaaaaa eti tumekimbilia kusoma ili tuone MBUNYE......wakati hata MBUNYE yenyewe hatuioni tumeishia kuona neno la MBUNYE tuuu sasa sijui ulikua unataka tujua nini kuhusu MBUNYEE kweli umeamua kuelezea msamiati huu wa MBUNYE bila ktuambia MBUNYE ni kitu gani...haya bana wewe baki na MBUNYE yako bana sie tunasubiria uje utuonyeshe hiyo MBUNYE.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom