Hiki kizazi cha pambuchi, mbunye

Wiyelelee

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
1,071
347
Jamani wazima?

Huwa mimi huwa nasikitika sana. Leo hii, nyimbo nyingi za Bongo flavor ukizisikiliza na kuzichambua utakuta mwishoni zinaelekea mmoja au mwingine "kulilia mbunye".

Mitaani utakuta maongezi mengi ya vijana ni mbunye tu! Mimi hapa ninaeandika ni naandika mbunye tu! Na wewe msomaji mwana JF umekimbilia hapa ili usome mbunye tu! Huko Sinza naskia watu wakienda lunch lazima wastue mbunye kabla ya kurudi ofsin!

Haijalishi mke au mme wa mtu kila mmoja anafikiria na kuongelea mbunye tu siyo ile ya mwenza! Jamani hiki kizazi gani?
 
dah !!1
kweli leo umeamua kuweka post ya mbunye ! poa mkuu nakutakia kila la kheri kwenye mbunye ila kumbuka soksi mkuu
 
Mkuu ukitaka kuthibitisha hii kitu weka ushahidi wa picha kabisa ya hyo Mbunye niliyoikimbilia?
 
Wee jamaa jipange...mimi hapa nimefungua ili nione mbunye lakin nakutana na maandishi...John alikuwa kajipanga ati!!!
 
ha ha ha haa, umeandika utafikiri mbunye ni maji ya kunywa ait au pipi ivory hivi...... ama kweli siku hizi mbunye zimezoeleka mpaka zinatamkika kirahisi lo!
 
Mkuu ukitaka kuthibitisha hii kitu weka ushahidi wa picha kabisa ya hyo Mbunye niliyoikimbilia?

Ningeweka picha ingekuwa ni udhalilishaji ila watalaamu si unaona walivyokimbilia kuitafuta hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom