Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,190
- 13,735
Tumeingiza timu uwanjani coz hakuna vyeti vinavyo onesha wachezaji hao wana Corona, wanatoa taarifa kienyeji
Haya tusubiri dk 90,tukutane hapa hapa
Tumeingiza timu uwanjani coz hakuna vyeti vinavyo onesha wachezaji hao wana Corona, wanatoa taarifa kienyeji
Kwa hiyo kwa tathmini yako ulivyofikiri kuondoka kwa manara kungeiathiri Simba?Mashabiki wamekuja Kwa Sababu ya ku mprove wrong Haji Manara
Sure . Manara is something else.
"Something else" kwa "kumsukulisha"!!???Sure . Manara is something else.
Aliekuchomeka mwiko uko nyuma matkn ndio bingwa wa nchi hii,utaangaika sana kama kuku anaetaga chura kibeko bin utopolo,Simba day imeanzishwa miaka kumi na tatu iliyopita na siku zote uwanja unajaa!! Msukule kaja miaka minne iliyopita kakuta Simba inajaza uwanja siku zote,punguza makasiriko utajinyea bure na marinda una kenge weweMashabiki wamekuja Kwa Sababu ya ku mprove wrong Haji Manara
SawaAliekuchomeka mwiko uko nyuma matkn ndio bingwa wa nchi hii,utaangaika sana kama kuku anaetaga chura kibeko bin utopolo,Simba day imeanzishwa miaka kumi na tatu iliyopita na siku zote uwanja unajaa!! Msukule kaja miaka minne iliyopita kakuta Simba inajaza uwanja siku zote,punguza makasiriko utajinyea bure na marinda una kenge wewe
Ina maana mimi ni mkubwa Sana kwa onyangoOnyango Mungu anamuona eti ana miaka 28 duuuu.......
Mdogo wetu huyo...😀😀Ina maana mimi ni mkubwa Sana kwa onyango
Yule mbona Kama mzee
Sawa mke WA RAKADINI / SOPESimba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised.
Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ?
Simba SC is very boring.
# Haji Manara is cut from a different clothes
Ulisema Prof J alikua ndo MC, je Mpoki na Adam Mchomvu utawasemeaje?Simba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised.
Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ?
Simba SC is very boring.
# Haji Manara is cut from a different clothes
Na wameujaza uwanja Kwa Sababu wanataka kumprove wrong Manara... Wanacheza Ngoma ya Manara
Hivi huko Yanga kuna mwenye akili timamu kweli? Mbona naona wote mko mataahira tupuSimba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised.
Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ?
Simba SC is very boring.
# Haji Manara is cut from a different clothes
Eti nimempita miaka nane yule daaah ...yaani mdogo wangu wa mwisho wa 90 ni mkubwa pia kwa onyango aseeee ....Ina maana mimi ni mkubwa Sana kwa onyango
Yule mbona Kama mzee