Hiki kituko cha msimu, yaani Profesa Jay ndio MC wa Simba day

Mashabiki wamekuja Kwa Sababu ya ku mprove wrong Haji Manara
Aliekuchomeka mwiko uko nyuma matkn ndio bingwa wa nchi hii,utaangaika sana kama kuku anaetaga chura kibeko bin utopolo,Simba day imeanzishwa miaka kumi na tatu iliyopita na siku zote uwanja unajaa!! Msukule kaja miaka minne iliyopita kakuta Simba inajaza uwanja siku zote,punguza makasiriko utajinyea bure na marinda una kenge wewe
 
Sawa
 
Simba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised.

Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ?

Simba SC is very boring.

# Haji Manara is cut from a different clothes
Ulisema Prof J alikua ndo MC, je Mpoki na Adam Mchomvu utawasemeaje?
 
Manara ni tapeli tu.Aliataka kuaminisha watu kuwa yeye ndiye chanzo cha Simba kuujaza uwanja hivyo anastahili malipo makubwa.

Huko utopoloni amewachota akili eti yeye ndiye amefanya muujaze uwanja,nanamlipa pesa nyingi kwa kazi hiyo.
Ila subirini muanze kupoteza mechi muhimu ndio mtajua huo msukule unatembelea nyota za wachezaji
Na wameujaza uwanja Kwa Sababu wanataka kumprove wrong Manara... Wanacheza Ngoma ya Manara
 
Kwakua mna timu ya nzuri ndio mmemchukua na huyo Manara ili aongeze nguvu kama Senzo.
Tunawapongeza sana kwa kuweza kumchukua Manara maana atasaidia sana maendeleo ya timu yenu.
Simba tulishindwa kumpa mshahara mzuri lakini wenzetu mmeweza jambo ambalo litawapa ushindi mnono mwaka huu katika mashindano ya ndani na ya kimataifa.
Binafsi nawapongeza sana kwa juhudi mlizofikia.
Manara ndio kila kitu kwa timu zetu za hapa nchini kwa sasa.
Pongezi kwenu.
 
Simba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised.

Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ?

Simba SC is very boring.

# Haji Manara is cut from a different clothes
Hivi huko Yanga kuna mwenye akili timamu kweli? Mbona naona wote mko mataahira tupu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom