Hiki kinachoendelea sasa ni baada ya aliyekuwa spika, Dkt. Tulia kupigia debe marekebisho ya sheria ya usalama wa taifa kutowajibishwa kabisa.

Hiki kinachoendelea sasa ni baada ya aliyekuwa spika, Dkt. Tulia kupigia debe marekebisho ya sheria ya usalama wa taifa kutowajibishwa kabisa.

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,861
Reaction score
2,881
Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi

TULIA ACKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo kikubwa cha kujeruhi hili taifa na raia wake na hii dhambi itakutafuna na wabunge wenzako maisha yako yote

Kwa sasa CCM haipo kwa ajili ya wananchi tena ,CCM si ya wananchi tena.
 
Kametumiwa na wahuni, halafu mwisho wa siku kametupwa jalalani kama ganda la muwa.
 
Kametumiwa na wahuni, halafu mwisho wa siku kametupwa jalalani kama ganda la muwa.
Huyu ndio chanzo cha hawa wajeuri kufanya walitakalo kwenye uhai wa watanganyika maana TULIA NA BUNGE LAKE walisha bariki hilo ,halafu tunadanganyana kuna bunge la wananchi kile nalo lije kutembelewa tuu
 
Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi

TULIA AKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo kikubwa cha kujeruhi hili taifa na raia wake na hii dhambi itakutafuna na wabunge wenzako maisha yako yote

Kwa sasa CCM haipo kwa ajili ya wananchi tena ,CCM si ya wananchi tena.
Naona ameanza kutia huruma
Ila haamiki Tena

Ccm wanakutumia kama Ile mipira ya ndoa
 
1748376468938.jpg
 
Back
Top Bottom