Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
Nadhani shida ni Familia niliyotoka lakini pia sio tamaduni zetu kuwa na vyoo vya namna hii maana kwetu lushoto tunatumia vyoo vya kulenga vilivyozungushiwa na makuti.
Hatutawazi tunatumia matawi ya miti na magunzi au tunajifyafyata kwenye mchanga kutoa poop.
Hatutawazi tunatumia matawi ya miti na magunzi au tunajifyafyata kwenye mchanga kutoa poop.