Hiki kidude (Ferris wheel) Watanzania huwa wanakionea tu kwenye TV

Kumekucha Sasa Hivi
Kenya Ujanjaujanja Tu, Hongera Sana Kuipata Hiyo
 
Hivi ninyi wakunya ushamba mnaanza kuacha lini? Mtu mzima unaturingishia bembea za watoto wadogo

Ndio maana nilikuambia nataka kukupa ajira ya uhouseboy ikutoe tongotongo
Shetani nilikuambia usinimention. Halafu hii sio bembea ya watoto. Hii inaitwa Kenyan eye. Pia kuna london eye. Dar slum eye iko wapi? Sasa nani ndio mshamba?
Tazama london eye inavyovutia
 
Co kila kitu mnaiga tu hao wana maana yao, utakuta hyo ni kielelezo cha kumuabudu Lucifer ss nyie mkaiga pasipo kujua maana yake na ndiyo maana mabalaa hayawaishi kwa kupenda kuiga iga hata ujinga.

Lini kenya mtakuwa unique km Tanzania? Mnaiga kila kitu aiseee daahh, mastesheni ya treni mnaiga, kila kitu mnaiga huu ni ujinga na aibu kwa EA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…