Hiki chama ni cha kidini?

Tatizo mlisema mtakinukisha.Tatizo sio kutoshiriki.Usishiriki uchaguzi lakini usifanye fujo ,usimzuie anayataka kupiga kura.Kumzuia na kumfanyia fujo anayetaka kupiga kura sio haki.
 
Kwa nilivyokuelewa ni umekiri kwamba chadema ni chama cha kidini kupitia ufahamu wa kwamba inchi inaendeshwa na kanisa

Hongera kwa kushiriki na kujibu
 
Uzi wako ni wa kijinga
 
Siyo viongozi wa dini, sema viongozi wa RC, RC ni kanisa baguzi sana halafu ina arrogance flani, inajiona ndio yenye wafuasi wengi, inafikiri linaogopwa ukwl ni kuwa hakuna anayewajali. Wameshazoeleka hawana ht aibu kila Rais akiwa muislam hawatuliagi ni nyaraka. Bahati nzuri nchi hii inawafahamu, siku hizi wanapuuzwa ni sawa na mbwa asiye na meno. Wanajiaibisha tu bora wangetulia. Waombe hekima na maarifa ya Kimungu
 
Kwa nilivyokuelewa ni umekiri kwamba chadema ni chama cha kidini kupitia ufahamu wa kwamba inchi inaendeshwa na kanisa

Hongera kwa kushiriki na kujibu
Yaani we jamaa!!
Dini ndio zilianzisha vyama vyote unavyoviona na hatma ya huko tuendako inaamuliwa kanisani na misikitini!!

Chadema na upinzani hutumika TU kama ccm inavyotumika na wao!waliamua ccm ndio iaminike halafu wapinzani wawe wapiga kelele Ili ccm isiharibu zaidi !!

Wakati wa jpm walipiga kelele,wakati wa mwinyi kelele zilipigwa pia n.k!!!
Ishu ya udini IPO ndani ya CCM na upinzani Kwa ujumla sio upinzani pekee!!
 
Rais dhaifu akishindwa kuongoza Kwa weledi daima hukimbilia kujificha kwenye kivuli cha udini akitumia machawa kutoka dini yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…